Siasa inalipa!! Angalia unaodaiwa kuwa utajiri wa Baraza la Mawaziri Kenya!

Una uhakika gani kuwa wametajirikia kwenye siasa na walikuwa makapuku kabla ya kuingia kwenye siasa?
Tuletee taarifa za mali zao kabla ya kuingia kwenye siasa tujiridhishe.
Hujui kuna wanasiasa walioanzia vyuoni Leo hii wanamiliki magari na majumba?
 
Elfu 18 tu ni mtaji. Elfi 18 inazalisha elfu 60 kwa siku tatu tu. Kanunue dawa za muscular pains kariakoo tembeza mtaani
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Utoke hapo kuitafuta Bilioni? Au Bilioni 10?
 
Hata Tanzania wapo wenye nazo, swali ni je huoni Kama kuna haja ya kudeclare Mali zao?
Hili linatakiwa liwe ni jambo la lazima kwa yeyote anayetaka kushika uongozi ngazi yoyote. Iwe ni lazima na rekodi ziwe public. BTW wewe umesema ubunge wa Kenya unalipa mimi nikakakwambie wengi wanaingia wakiwa tayari ni matajiri. NB: Ila hata malipo ya ubunge wao ni makubwa
 
una mashaka na ukwasi wa kiongozi fulani, just report kwenye tume husika ataitwa kuthibisha mashaka yako vizuri tu. hadharini haina maana yoyote πŸ’
Hapana Kama waajiri wake tunapaswa kujua! Tanzania taarifa nyingi ziko Classified! Hata Mshahara wa viongozi wakuu ni Siri!

Lazima tujue wanamiliki nini! Na iwe wazi! Ukiona wanaficha jua haujapatikana kihalali na muhimu zaidi WALIPE KODI
 
Nakuunga mkono, lazima iwepo Transparency,
 
Hapana Kama waajiri wake tunapaswa kujua! Tanzania taarifa nyingi ziko Classified! Hata Mshahara wa viongozi wakuu ni Siri!

Lazima tujue wanamiliki nini! Na iwe wazi! Ukiona wanaficha jua haujapatikana kihalali na muhimu zaidi WALIPE KODI
hakuna anaeficha taarifa za mali za watumishi ukitaka kujua fuata utaratibu, ukiona vinginevyo bas relax tu, taarifa zote za watumishi ziko kwa muajiri na Taasisi husika...

Lakini pia na mshahara wako ni siri yako na muajiri wako na mishahara haijawahi kufanana ...πŸ’
 
Possible. Wekeza utt liquid fund.
Nipe case study! Kwamba Fulani alianzia umachinga akawekeza UTT Leo ni bilionea,
La sivyo naombeni kadi ya Chama πŸ˜€@johnthebaptist wapi napata Jimbo 2025?
 
Mkuu nikusaidie kidogo ,kenya hakuna anaeenda kwenye siasa akiwa maskini,makamu wa rais kenya yule ni tajiri kama bakhresa ile nchi ya kibepali kuwa tajiri ni kigezo pia kukupa kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…