Plaintiff
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 307
- 216
Tena kwenye upande wa shetani wala hautahitaji Kumuomba kwamba unataka kujiunga na yeye, Yeye the moment unapo muacha Mungu yeye anajileta,
Kuamini Pekee kuwa Mungu yupo haitoshi, Fanya yafuatayo,
1. Zishike Amri za Mungu na uzifuate kama zilivyoandikwa katika Biblia bila kuacha hata moja na hazikuwahi kubadilishwa Popote,
2. Acha dhambi na uishi maisha Yenye kumpendeza Mungu huku upendo ukiyaongoza maisha yako.
3. Omba Mungu akupe Unyenyekevu,
4. Acha kuhukumu watu, wao ni Binadamu na wakosea, na wanayo nafasi ya Kurudi kwa Mungu na Kuungama makosa yao, Mwisho wa siku utajikuta unaendelea kumuhukumu mtu kwa historia yake, na siyo maisha yake ya sasa.
5.
Mengine wengine wataongezea,
Muwe na Sabato njema.