Kwanini huyo wa kijani asife,mbona utumbo wake umesha haribiwa,hata kutembea kwake anatumia miguu ya aliyemmezaTafsiri
Chadema wamejisalimisha kwa CCM na sasa CCM inawapeleka Chadema inapo taka mbaya zaidi CCM inawarudisha nyuma chadema inawezekana wakafa kabisa kwa sababu CCM wameingia ndani na wameshaharibu mifumo Yao yote. Kuanzia upuaji hadi mmeng'enyo wa Chakula ina maana mpaka Leo Chadema hawana moyo maini wala figo. WAMEKWISHA. SALUTE KWA KIPANYA.
Nmejaribu kutafsiri[emoji23][emoji23]
Kwa haraka haraka mbwa na chatu kila mmoja anataka kwenda njia yake kimbem
CCM (Chatu)wameimeza CDM( mbwa) ila Chatu hana uwezo tena wa kutambaa,mbwa ndiye anayempeleka japo haoni uelekeo😂😂. Mwisho wa game Chatu ameshatobolewa tumbo atakufa tu na akioza mbwa anatoka na kusonga mbele😂😂Kwanini huyo wa kijani asife,mbona utumbo wake umesha haribiwa,hata kutembea kwake anatumia miguu ya aliyemmeza
View attachment 2544444
1. Yaani hapo kuna mbwa na chatu.
2. Chatu amemmeza mbwa.
3. Miguu ya mbwa imetoboa tumbo la chatu.
4. Mbwa anatembea huku amemezwa.
5. Najaribu kulitazama jicho la chatu nimebaki nimeduwa sielewi kwanini liko hivo.
Uzuri pia manyanyaso,yale yaliyopelekea hata hatari ya uhai yamekwisha iwapo yatatokea ni mateso bila chuki kama inavyoonekana kwenye katuni🤔..katuni inaonyesha " WIN-WIN " situation.🤣
..Mbwa ameshinda, na Chatu ameshinda.
Mbwa anatumia jicho la chatu kutafuta uelekeo
Amekunja mkia kumpa unafuu mbwa kutembea kwa uhuru, ila macho ya chatu ndiyo yana facilitate uelekeoUkiangalia miguu ya mbwa na kichwa cha chatu, uelekeo tofauti pia chatu amekunja mkia.
View attachment 2544444
1. Yaani hapo kuna mbwa na chatu.
2. Chatu amemmeza mbwa.
3. Miguu ya mbwa imetoboa tumbo la chatu.
4. Mbwa anatembea huku amemezwa.
5. Najaribu kulitazama jicho la chatu nimebaki nimeduwa sielewi kwanini liko hivo.
Chatu anakaribia kufaView attachment 2544444
1. Yaani hapo kuna mbwa na chatu.
2. Chatu amemmeza mbwa.
3. Miguu ya mbwa imetoboa tumbo la chatu.
4. Mbwa anatembea huku amemezwa.
5. Najaribu kulitazama jicho la chatu nimebaki nimeduwa sielewi kwanini liko hivo.
Kumbe eeh HongeraTafsiri
Chadema wamejisalimisha kwa CCM na sasa CCM inawapeleka Chadema inapo taka mbaya zaidi CCM inawarudisha nyuma chadema inawezekana wakafa kabisa kwa sababu CCM wameingia ndani na wameshaharibu mifumo Yao yote. Kuanzia upuaji hadi mmeng'enyo wa Chakula ina maana mpaka Leo Chadema hawana moyo maini wala figo. WAMEKWISHA. SALUTE KWA KIPANYA.
Nmejaribu kutafsiri[emoji23][emoji23]
hapa ni Mazaa na MboweeView attachment 2544444
1. Yaani hapo kuna mbwa na chatu.
2. Chatu amemmeza mbwa.
3. Miguu ya mbwa imetoboa tumbo la chatu.
4. Mbwa anatembea huku amemezwa.
5. Najaribu kulitazama jicho la chatu nimebaki nimeduwa sielewi kwanini liko hivo.
Hujafuatilia toka mwanzo. Mbwa wa rangi ya Kaki ni CHADEMACCM (CHATU), MIGUU YA MBWA (MIHIMILI YA DOLA + WANANCHI)... CCM(CHATU) imemeza mihimili yote ya dola pamoja na wananchi wake wote.. Huo uelekeo wa chatu na miguu ya mbwa kuwa tofauti - Hii inaamanisha DIRA ya Taifa na Dira ya chama tawala kwasasa ni tofauti kichwa cha CHATU(Rais) kinaonekana kuingalia miguu ya mbwa kana kwamba imemzidi nguvu ya uelekeo wake na sasa anatafakari namna ya kuishinda hiyo nguvu japo ni kama kashachelewa maana MBWA HAJAFA na sasa anapata wasiwasi kuwa tayari kashakosea na yeye yupo kwenye hatari ya kufa(kupoteza nguvu aliyo nayo madarakani).
Amekuja Mkia ili asije akatokea matakoniAmekunja mkia kumpa unafuu mbwa kutembea kwa uhuru, ila macho ya chatu ndiyo yana facilitate uelekeo
sukuma gang bhana.Tafsiri
Chadema wamejisalimisha kwa CCM na sasa CCM inawapeleka Chadema inapo taka mbaya zaidi CCM inawarudisha nyuma chadema inawezekana wakafa kabisa kwa sababu CCM wameingia ndani na wameshaharibu mifumo Yao yote. Kuanzia upuaji hadi mmeng'enyo wa Chakula ina maana mpaka Leo Chadema hawana moyo maini wala figo. WAMEKWISHA. SALUTE KWA KIPANYA.
Nmejaribu kutafsiri[emoji23][emoji23]
sukuma gang huwa mnajifarij sana100%
Halafu huu naona ni mwendelezo wa zile katuni zingine mbwa alikuwa anaombwa amezwe alipokubali ikawa swadakta sasa leo tena katoboa tumbo na anamkontro chatu.View attachment 2544444
1. Yaani hapo kuna mbwa na chatu.
2. Chatu amemmeza mbwa.
3. Miguu ya mbwa imetoboa tumbo la chatu.
4. Mbwa anatembea huku amemezwa.
5. Najaribu kulitazama jicho la chatu nimebaki nimeduwa sielewi kwanini liko hivo.
Mbwa kamezwa na chatu katobolewa tumbo. Maana yake wote watakufa maana tumbo likitoboka huponi na kichwa cha mbwa kimo ndani hawezi kupumua.View attachment 2544444