Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Kwanini huyo wa kijani asife,mbona utumbo wake umesha haribiwa,hata kutembea kwake anatumia miguu ya aliyemmezaTafsiri
Chadema wamejisalimisha kwa CCM na sasa CCM inawapeleka Chadema inapo taka mbaya zaidi CCM inawarudisha nyuma chadema inawezekana wakafa kabisa kwa sababu CCM wameingia ndani na wameshaharibu mifumo Yao yote. Kuanzia upuaji hadi mmeng'enyo wa Chakula ina maana mpaka Leo Chadema hawana moyo maini wala figo. WAMEKWISHA. SALUTE KWA KIPANYA.
Nmejaribu kutafsiri[emoji23][emoji23]