Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 796
- 2,026
Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa Tanzania tuna siasa mbovu ambazo kimsingi zimechangia kuua ndoto za vijana wengi wenye fani na taaluma mbalimbali ambazo wamezihangaikia tangu wakiwa wadogo mpaka wanakuwa watu wazima.
Siasa kwetu sio taaluma bali ni ajira ambayo walafi wa madaraka ( power hungry people ) wanaipigania kwe njia zote mbaya na nzuri. Kwa mazingira haya tunapata viongozi ambao hawana sifa wala uzalendo kwa taifa lao.
Vijana wasomi wamegeuka kichekesho ( laughing stock ) kwani wengi wamejikuta unemployed sio kwa sababu hawana uwezo ila maitaji nimadogo kuliko idadi yao.
Political leaders wetu wengi ni materialistic kwani hawajali lolote kuhusu kutengeza sera bora ya elimu na uchumi ili kuwasaidia vijana waweze kujijengea uwezo wa kujiajiri na kupata mtaji kwa urahisi.
Watanzania tunajuana maisha yetu vijana hasa watoto wa wakulima ni ngumu sana kwao kujiajiri bila kuwa na mazingira wezeshi.
Hili ni timed bomb personally naliona kwenye taifa langu, maana decision makers wetu wengi ni greenhorn na wanachoweza kikubwa ni lick miguu ya mkubwa badala ya kusimamia taaluma zao.
Roho inaniuma basi tu