kama unalogic kubwa hivii,huu uhuru tuliombiwa tumepata ni janjajanja ya wapigaji tu
Wapigania UHURU walihadaa waafrika wakawafukuza wakoloni kisha wao wakawa wakoloni weusi, wakijilimisha utajiri wa nchi wao na vizazi vyao huku mamilioni ya waafrika wakitopea kwenye ufukara 9, mashamba, na miradi yote waliyoacha wakoloni imekufa. Huku familia za wapigania UHURU wakiwa mamilionea wakiishi kifahari.Bora mkoloni mweupe kuliko mkoloni mweusi,kwani maisha yalikuwa bora ajira tele mashambani, viwanda, elimu, afya miundombinu zilikuwa bora kabisa, huku wakulima wakiwa na uhakika kabisa pa kuuzia mazo yao bila shida kabisa.
Wapigania UHURU walihadaa waafrika wakawafukuza wakoloni kisha wao wakawa wakoloni weusi, wakijilimisha utajiri wa nchi wao na vizazi vyao huku mamilioni ya waafrika wakitopea kwenye ufukara zaidi ya wakati wa mkoloni. Viwanda, mashamba, na miradi yote waliyoacha wakoloni imekufa. Huku familia za wapigania UHURU wakiwa mamilionea wakiishi kifahari.Bora mkoloni mweupe kuliko mkoloni mweusi,kwani maisha yalikuwa bora ajira tele mashambani, viwanda, elimu, afya miundombinu zilikuwa bora kabisa, huku wakulima wakiwa na uhakika kabisa pa kuuzia mazo yao bila shida kabisa.
Niseme tu ni tamaa ya wapigania UHURU wachache kwa maslai yao na familia ndio waliowadanganya waafrika wawafukuze wakoloni Ili wao wanufaike na familia zao, check familia zao zinavyoogelea kwenye utajiri huku waafrika wengi wakiwa fukara dhoofu hali. Mwafrika alikuwa na maisha mazuri Sana kabla ya UHURU, check mfano nchini kama zimbabwe, south africa, botswana, Namibia, nk ajira ngapi zimekufa baada ya UHURU. Waafrika ilitakiwa tuombe usawa na sio kujiendesha tumeproofu failer mwafrika hana uwezo wa kuongoza Jamii ikastawi amejaa ubinafsi na hila ya kutazama leo yeye binafsi.Mfano hata sasa angalia familia za kina Kenyatta, Moi, Odinga, Mugabe, Mobutu,Do santos,Nguema,Paul Biya,Museven nk zilivyotajirika kwa wizi uliofanywa na wazazi wao kwa kujilimbikizia mali huku wananchi wakiwa masikini kabisa.
Familia zao ndizo zinazolamba asali.