Siasa mbovu za Tanzania zimewaacha vijana wasomi wamepauka

Wenzetu wao wametengeza mifumo wezeshi kwa watu wao kutimiza ndoto zao, sisi vikwazo ndo silaha yao, utoboe shughuli pevu. Kupata tu pasipoti ukasake ajira nje ukatambike. Kununua tu gari toka nje ujiajiri na utoe ajira, import duty itakukimbiza.Kila mahali wamehakikisha vijana awapumui. Wametengeza umasikini ujinga na njaa Ili kuhakikisha utoboi, Ili wao waendelee kulamba asali na sio majority.
 
Balaa mi msimamo wangu ule ule nchi inahitaji dikteta hata kama anaiba anaiba yeye kuliko kuwa na kundi la wezi hata mpinge lazima nchi hii ipelekwe kwa command mmoja tu kundi linashambulia vibaya mno
 
How is development to be brother when the people to whom we have entrusted power are corrupt?
 
Kwa hiyo hata usomi wao hauwasaidii kujitafitia ajira wanazidiwa na wale ambao hawakusoma na wanapambana na maisha bila elimu na wana ng'aa?
Hawana elimu na hawasubili ajira za serikali.
Lakini wenye elimu wanapauka kwa kukosa maalifa ya kujitafutia ingawa wame elimishwa.
 
Hii hofu tulionayo ametuweza kwelikweli sio mchezo. Kinachoshangaza mpaka kwenye taasisi za elimu ya juu vijana hawana uwezo waku argue waoga kunguru hafai. Hali hii ilichangia sana wahadhiri kufanya biashara ya notes kwa kitisho kuwa asienunua atafeli mtahani. Dah! Nikikumbuka roho inaniuma sana.
 
Kaka kila mtu ana ndoto zake hivyo elimu ni daraja la kupitia ili kuzifikia ndio maana tunapeleka watoto shule. Pale SUA kuna vijana wanasoma kilimo vizuri sana ila sector ya kilimo bado hauvutii hata kidogo. Kuna mchangiaji mmoja kaeleza vizuri vikwazo ni vingi Sana, watoto wa wakulima watapata wapi mitaji. Sector binafsi ndio wameizika kabisaa iko taabani.
 
Hao mnaowaita wasomi waliokosa ajira ni mambulula tu
Kama wana elimu hawajaelimika na haijawasaidia kitu
 
Nchi ya ovyo Sana hii basi tu , sometimes unakaa unawaza Bora ungezaliwa jibwa ulaya huko
Ukisoma huu Uzi utajua Tanzania bado tuna safari ndefu
 
Hio ndo point yangu sisi ni waoga sana wa mbadiliko Kuna kundi kubwa la watanzania bado wanaanin ccm bado anastahili kuiongoza japokua hakuna Cha maana alichokifanya kwa miaka 60
 
WATAPAUKA SANA CCM HAIJILI CHOCHOTE

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Je wewe ni mmoja wetu sisi vijana wasomi tuliopauka kutokana na sera mbovu za ccm au unatusemea mkuu
 
wanamsemo wao wanasema mama anaupiga mwingi
 
WATAPAUKA SANA CCM HAIJILI CHOCHOTE

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Hawa jamaa wa hicho chama wanatudharau sana wakishalambishwa asali wanajiona wao ni special sana. Wanatamaa ya fisi wakishavimbewa utasikia wanaropoka " wasomi acheni kulalamika ajira'' kama yule jamaa meno kuoza katambi ananiuzi sana
 
kama unalogic kubwa hivii,huu uhuru tuliombiwa tumepata ni janjajanja ya wapigaji tu
 
Mkuu siku hizi Masters na PhD hazina maana yoote. Mtu anaamini Uchawa ndio utamtoa tu.
Hili linashangaza sana.
Yaani wale ambao ndio wanatakiwa kuwa waleta tatuzi za changamoto za nchi,wao wanapenda mteremko kwa kuwa wasifiaji sifiaji hata upumbavu ili tu wasitumie akili na elimu kupata mkate wao.
Tatizo kubwa ni anayepaswa kukemea hii hali naye ni mpenda sifa.
 
kama unalogic kubwa hivii,huu uhuru tuliombiwa tumepata ni janjajanja ya wapigaji tu
Wapigania UHURU walihadaa waafrika wakawafukuza wakoloni kisha wao wakawa wakoloni weusi, wakijilimisha utajiri wa nchi wao na vizazi vyao huku mamilioni ya waafrika wakitopea kwenye ufukara 9, mashamba, na miradi yote waliyoacha wakoloni imekufa. Huku familia za wapigania UHURU wakiwa mamilionea wakiishi kifahari.Bora mkoloni mweupe kuliko mkoloni mweusi,kwani maisha yalikuwa bora ajira tele mashambani, viwanda, elimu, afya miundombinu zilikuwa bora kabisa, huku wakulima wakiwa na uhakika kabisa pa kuuzia mazo yao bila shida kabisa.
Wapigania UHURU walihadaa waafrika wakawafukuza wakoloni kisha wao wakawa wakoloni weusi, wakijilimisha utajiri wa nchi wao na vizazi vyao huku mamilioni ya waafrika wakitopea kwenye ufukara zaidi ya wakati wa mkoloni. Viwanda, mashamba, na miradi yote waliyoacha wakoloni imekufa. Huku familia za wapigania UHURU wakiwa mamilionea wakiishi kifahari.Bora mkoloni mweupe kuliko mkoloni mweusi,kwani maisha yalikuwa bora ajira tele mashambani, viwanda, elimu, afya miundombinu zilikuwa bora kabisa, huku wakulima wakiwa na uhakika kabisa pa kuuzia mazo yao bila shida kabisa.
Niseme tu ni tamaa ya wapigania UHURU wachache kwa maslai yao na familia ndio waliowadanganya waafrika wawafukuze wakoloni Ili wao wanufaike na familia zao, check familia zao zinavyoogelea kwenye utajiri huku waafrika wengi wakiwa fukara dhoofu hali. Mwafrika alikuwa na maisha mazuri Sana kabla ya UHURU, check mfano nchini kama zimbabwe, south africa, botswana, Namibia, nk ajira ngapi zimekufa baada ya UHURU. Waafrika ilitakiwa tuombe usawa na sio kujiendesha tumeproofu failer mwafrika hana uwezo wa kuongoza Jamii ikastawi amejaa ubinafsi na hila ya kutazama leo yeye binafsi.Mfano hata sasa angalia familia za kina Kenyatta, Moi, Odinga, Mugabe, Mobutu,Do santos,Nguema,Paul Biya,Museven nk zilivyotajirika kwa wizi uliofanywa na wazazi wao kwa kujilimbikizia mali huku wananchi wakiwa masikini kabisa.
Familia zao ndizo zinazolamba asali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…