Siasa mbovu za Tanzania zimewaacha vijana wasomi wamepauka

Umenena ukweli kabisa..kwasasa nchi hii vijana wengi hasa graduates wameona njia ya kutafuta chance ya maisha ni kukimbilia siasa.

Wengi choka mbaya hawana future zaidi ya kuwa chawa na walamba miguu ya viongozi..ili anagalau wafikiriwe kwenye teuzi au vipesa vidogo vidogo wakitumika kueneza propaganda mbovu kwa jamii.

Kimsingi njaa ikihamia kichwani ni tatizo kubwa sana..hii nchi imepoteza maono chama cha kijani sasa sio chama cha wanachi bali limekuwa genge la walaghai.

#MaendeleoHayanaChama
 
CCM NI MAVIII
 
Hata wakipewa miaka milioni moja still hawawezi leta mabadiliko.Kwao siasa na uongozi ni ajira binafsi kwa ajili ya kutatua shida zao binafsi na sio za jamii.
Umeongea ukweli mtupu.

Kwao siasa ni ajira binafsi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Balaa mi msimamo wangu ule ule nchi inahitaji dikteta hata kama anaiba anaiba yeye kuliko kuwa na kundi la wezi hata mpinge lazima nchi hii ipelekwe kwa command mmoja tu kundi linashambulia vibaya mno
Nikweli tunahitaji dikteta mzalendo kama JPM..sio dikteka kama akina Mobutu Seseseko.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wenye kustahili kupata kazi wapewe isiwe tu kazi zitoke kwa kujuana,bali vigezo ktk sekta husika.
 
ama hakika mku umenena jambo zito ambalo waafrica wengi hawatambui ,ukiangalia mfumo mzima wa serikali unasadiki yote uliyosema hapa, familia ni zile zile tu ,huku utaskia mwinyi,kikwete,nyerere kule utaskia kibaki,kinyata ,moi.amaa kweli familia chache ndizo zinamiliki hizi nchi zetu za kiafrica na wanafanya chochote wanachojiskia kufanya.
 

Bora ya wakoloni weupe kuliko weusi
 
Sio kupayuka tu wasomi vijana wananuka DHIKI nchi hii, ni heri ya wakoloni wazungu kuliko mkoloni CCM na MaCCM ,ni LAANAKUM.
Hali inatisha mno kitaa ,asikwambie mtu . Ni bomu linalosubiri kulipuka soon tutakuwa kama Nigeria na Ghana huko , hardened criminals with brains toughened by unemployment + poverty , it's a deadly recipe , we ngoja Tu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…