Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mlaumu mzee wako usilalamikie wazee wa watu wengine.Huwa namshangaa sana huyo mzee na udini wake.
Mengi alikua na media lakini hakuwa na udini kama wake.
Kwa kifupi sana kwa sheria za soka za FIFA na CAF lile lilikuwa ni kosa, na kama litashikiwa bango huenda Azam TV na mamlaka za soka hapa Tanzania zikajikuta matatani.
Kabisa production team yote ya nje wazungu wa CAF basi watu chuki tu za kidini. Uzuri uchumi mkubwa Tanzania unashikwa na hao hao wanaowachukia 😛Wewe mleta mada ndie nyumbu.
Unafikiri jana matangazo ya mpira yalikuwa yana controliwa na azam.
Jana shughuli yote A to Z ilisimamiwa na CAF.
Kama siyo bango la ''mama anaupiga mwingi'' hamna neno. Hilo linatetea haki tofauti na la Samia amabalo linaunga mkono ukandamizaji.Kilichotokea jana kwenye ufunguzi wa mashindano ya African Football League kwenye mechi kati ya Simba na Al Ahly kupitia Azam TV ambapo kwa sekunde kadhaa kimakusudi walionyesha bango la mashabiki lenye maandishi yenye mlengo wa kushabikia siasa za mashariki ya kati (kifupi bango lile lilikuwa na maandishi ya kiingereza likipeleka ujumbe wa kuunga mkono harakati za taifa la Palestina), kitendo kile kilikuwa ni kitendo cha aibu na fedheha kubwa kuonekana michezoni kupitia matangazo ya moja kwa moja kwenye TV. Wadau kadhaa duniani waliofuatilia matangazo yale wameonyesha kusononeshwa na namna Tanzania kupitia Azam Media nk walivyoamua kimakusudi kushafua taswira nzima ya matangazo ya mpira wa Afrika.
Kwa kifupi sana kwa sheria za soka za FIFA na CAF lile lilikuwa ni kosa, na kama litashikiwa bango huenda Azam TV na mamlaka za soka hapa Tanzania zikajikuta matatani.
Kimantiki tukio lile lilipangwa (kwa waliokuwepo uwanjani hususani jukwaa lile wanaelewa vizuri) na kuratibiwa kikamilifu huku Azam media ikihusika kwa 100%. Na hapa nitachambua kwa kina;
1. Bango lile lilikuwa kubwa, pana, refu na maridadi. Hivyo waandaji walikuwa ni watu waliojipanga vizuri.
2. Bango lile liliingizwa uwanjani bila usumbufu wowote na liliendelea kuwepo uwanjani kwa uhuru karibu muda wote wa mchezo. Hii inaashiria mamlaka za soka na usalama hapa Tanzania zilibariki tukio lile kwa 100%.
4. Bango lile liliandikwa kwa kiingereza, lengo likiwa kufikisha ujumbe kimataifa (wahusika wakijua 100% Azam Tv watarusha lile tukio!)
5. Bango lile lilikuwa limeshikiliwa kwa ujasiri na mashabiki wengi wa Al ahly (wamisri) na wachache wa simba (watanzania). Hii inaashiria ushirikishi wa pamoja.
6. Video zinaonyesha walioshirikia lile bango wakiwa standby kuchukuliwa video na Azam Tv, na wengine wakikimbilia kulifikia bango ili video inayochukuliwa iwaonyeshe. Hii inaashiria wapiga picha wa Azam walikuwa 100% attention&concious kuhakikisha ujumbe unafika.
7. Live coverage ya tukio ilikaa kwa sekunde kadhaa hewani ili kila mtazamaji aone, lakini pia kuna namna coverage ilihamia kwenye kitu kingine na haraka ikarejea kwenye tukio lile lile. Hii inaashiria umakusudi wa 100% tukio lile liende hewani.
8. Watangazaji wa Azam Tv hawakusema chochote (walikaa kimya) kama vile hawaelewi chochote wakati tukio lile likiwa hewani, huenda kwa kuwa walihisi ukakasi, hawakuandaliwa au kuogopa kitu.
9. Azam media wamekuwa na mtindo wa kurudia kuonyesha video za mechi iliyochezwa hapo kabla, hivyo wangeweza kuhariri kwa kuondoa vipande vya video vyenye utata, lakini kwa tukio la jana wameliacha vile vile mpaka sasa. Nadhani lengo ni ujumbe ufike vilivyo.
10. Mpaka sasa hivi Azam media hawajaomba radhi wala kutaka kutolea ufafanuzi tukio lile kuruka kwenye matangazo yao. Hii kuashiria Azam media wanaamini walikuwa sahihi na walijiandaa kurusha tukio lile kikamilifu.
Kwani waandaaji wa hiyo African super league wamemaindi ?Kilichotokea jana kwenye ufunguzi wa mashindano ya African Football League kwenye mechi kati ya Simba na Al Ahly kupitia Azam TV ambapo kwa sekunde kadhaa kimakusudi walionyesha bango la mashabiki lenye maandishi yenye mlengo wa kushabikia siasa za mashariki ya kati (kifupi bango lile lilikuwa na maandishi ya kiingereza likipeleka ujumbe wa kuunga mkono harakati za taifa la Palestina), kitendo kile kilikuwa ni kitendo cha aibu na fedheha kubwa kuonekana michezoni kupitia matangazo ya moja kwa moja kwenye TV. Wadau kadhaa duniani waliofuatilia matangazo yale wameonyesha kusononeshwa na namna Tanzania kupitia Azam Media nk walivyoamua kimakusudi kushafua taswira nzima ya matangazo ya mpira wa Afrika.
Kwa kifupi sana kwa sheria za soka za FIFA na CAF lile lilikuwa ni kosa, na kama litashikiwa bango huenda Azam TV na mamlaka za soka hapa Tanzania zikajikuta matatani.
Kimantiki tukio lile lilipangwa (kwa waliokuwepo uwanjani hususani jukwaa lile wanaelewa vizuri) na kuratibiwa kikamilifu huku Azam media ikihusika kwa 100%. Na hapa nitachambua kwa kina;
1. Bango lile lilikuwa kubwa, pana, refu na maridadi. Hivyo waandaji walikuwa ni watu waliojipanga vizuri.
2. Bango lile liliingizwa uwanjani bila usumbufu wowote na liliendelea kuwepo uwanjani kwa uhuru karibu muda wote wa mchezo. Hii inaashiria mamlaka za soka na usalama hapa Tanzania zilibariki tukio lile kwa 100%.
4. Bango lile liliandikwa kwa kiingereza, lengo likiwa kufikisha ujumbe kimataifa (wahusika wakijua 100% Azam Tv watarusha lile tukio!)
5. Bango lile lilikuwa limeshikiliwa kwa ujasiri na mashabiki wengi wa Al ahly (wamisri) na wachache wa simba (watanzania). Hii inaashiria ushirikishi wa pamoja.
6. Video zinaonyesha walioshirikia lile bango wakiwa standby kuchukuliwa video na Azam Tv, na wengine wakikimbilia kulifikia bango ili video inayochukuliwa iwaonyeshe. Hii inaashiria wapiga picha wa Azam walikuwa 100% attention&concious kuhakikisha ujumbe unafika.
7. Live coverage ya tukio ilikaa kwa sekunde kadhaa hewani ili kila mtazamaji aone, lakini pia kuna namna coverage ilihamia kwenye kitu kingine na haraka ikarejea kwenye tukio lile lile. Hii inaashiria umakusudi wa 100% tukio lile liende hewani.
8. Watangazaji wa Azam Tv hawakusema chochote (walikaa kimya) kama vile hawaelewi chochote wakati tukio lile likiwa hewani, huenda kwa kuwa walihisi ukakasi, hawakuandaliwa au kuogopa kitu.
9. Azam media wamekuwa na mtindo wa kurudia kuonyesha video za mechi iliyochezwa hapo kabla, hivyo wangeweza kuhariri kwa kuondoa vipande vya video vyenye utata, lakini kwa tukio la jana wameliacha vile vile mpaka sasa. Nadhani lengo ni ujumbe ufike vilivyo.
10. Mpaka sasa hivi Azam media hawajaomba radhi wala kutaka kutolea ufafanuzi tukio lile kuruka kwenye matangazo yao. Hii kuashiria Azam media wanaamini walikuwa sahihi na walijiandaa kurusha tukio lile kikamilifu.
Uefa wakiona hii comment yako watakucheka sana.Wewe ni mjinga.
Kila kitu kina mahali pake na taratibu zako. Sheria za soka haziruhusu soka kutumika kwenye mambo yasiyohusiana na soka.
Waandamane huko barabarani, siyo kwenye soka.
Tatizo nini hapo? Washabiki au Azam?Kilichotokea jana kwenye ufunguzi wa mashindano ya African Football League kwenye mechi kati ya Simba na Al Ahly kupitia Azam TV ambapo kwa sekunde kadhaa kimakusudi walionyesha bango la mashabiki lenye maandishi yenye mlengo wa kushabikia siasa za mashariki ya kati (kifupi bango lile lilikuwa na maandishi ya kiingereza likipeleka ujumbe wa kuunga mkono harakati za taifa la Palestina), kitendo kile kilikuwa ni kitendo cha aibu na fedheha kubwa kuonekana michezoni kupitia matangazo ya moja kwa moja kwenye TV. Wadau kadhaa duniani waliofuatilia matangazo yale wameonyesha kusononeshwa na namna Tanzania kupitia Azam Media nk walivyoamua kimakusudi kushafua taswira nzima ya matangazo ya mpira wa Afrika.
Kwa kifupi sana kwa sheria za soka za FIFA na CAF lile lilikuwa ni kosa, na kama litashikiwa bango huenda Azam TV na mamlaka za soka hapa Tanzania zikajikuta matatani.
Kimantiki tukio lile lilipangwa (kwa waliokuwepo uwanjani hususani jukwaa lile wanaelewa vizuri) na kuratibiwa kikamilifu huku Azam media ikihusika kwa 100%. Na hapa nitachambua kwa kina;
1. Bango lile lilikuwa kubwa, pana, refu na maridadi. Hivyo waandaji walikuwa ni watu waliojipanga vizuri.
2. Bango lile liliingizwa uwanjani bila usumbufu wowote na liliendelea kuwepo uwanjani kwa uhuru karibu muda wote wa mchezo. Hii inaashiria mamlaka za soka na usalama hapa Tanzania zilibariki tukio lile kwa 100%.
4. Bango lile liliandikwa kwa kiingereza, lengo likiwa kufikisha ujumbe kimataifa (wahusika wakijua 100% Azam Tv watarusha lile tukio!)
5. Bango lile lilikuwa limeshikiliwa kwa ujasiri na mashabiki wengi wa Al ahly (wamisri) na wachache wa simba (watanzania). Hii inaashiria ushirikishi wa pamoja.
6. Video zinaonyesha walioshirikia lile bango wakiwa standby kuchukuliwa video na Azam Tv, na wengine wakikimbilia kulifikia bango ili video inayochukuliwa iwaonyeshe. Hii inaashiria wapiga picha wa Azam walikuwa 100% attention&concious kuhakikisha ujumbe unafika.
7. Live coverage ya tukio ilikaa kwa sekunde kadhaa hewani ili kila mtazamaji aone, lakini pia kuna namna coverage ilihamia kwenye kitu kingine na haraka ikarejea kwenye tukio lile lile. Hii inaashiria umakusudi wa 100% tukio lile liende hewani.
8. Watangazaji wa Azam Tv hawakusema chochote (walikaa kimya) kama vile hawaelewi chochote wakati tukio lile likiwa hewani, huenda kwa kuwa walihisi ukakasi, hawakuandaliwa au kuogopa kitu.
9. Azam media wamekuwa na mtindo wa kurudia kuonyesha video za mechi iliyochezwa hapo kabla, hivyo wangeweza kuhariri kwa kuondoa vipande vya video vyenye utata, lakini kwa tukio la jana wameliacha vile vile mpaka sasa. Nadhani lengo ni ujumbe ufike vilivyo.
10. Mpaka sasa hivi Azam media hawajaomba radhi wala kutaka kutolea ufafanuzi tukio lile kuruka kwenye matangazo yao. Hii kuashiria Azam media wanaamini walikuwa sahihi na walijiandaa kurusha tukio lile kikamilifu.
Mkuu Al Ahly katika mechi ya marudiano na Simba wamesema wazi mapato yote watakayoyapata watayatoa kwa Wapalestina vipi kwa kauli yao hiyo na kitendo wanachotaka kukifanya wataondoshwa kabisa mashindanoni?Kilichotokea jana kwenye ufunguzi wa mashindano ya African Football League kwenye mechi kati ya Simba na Al Ahly kupitia Azam TV ambapo kwa sekunde kadhaa kimakusudi walionyesha bango la mashabiki lenye maandishi yenye mlengo wa kushabikia siasa za mashariki ya kati (kifupi bango lile lilikuwa na maandishi ya kiingereza likipeleka ujumbe wa kuunga mkono harakati za taifa la Palestina), kitendo kile kilikuwa ni kitendo cha aibu na fedheha kubwa kuonekana michezoni kupitia matangazo ya moja kwa moja kwenye TV. Wadau kadhaa duniani waliofuatilia matangazo yale wameonyesha kusononeshwa na namna Tanzania kupitia Azam Media nk walivyoamua kimakusudi kushafua taswira nzima ya matangazo ya mpira wa Afrika.
Kwa kifupi sana kwa sheria za soka za FIFA na CAF lile lilikuwa ni kosa, na kama litashikiwa bango huenda Azam TV na mamlaka za soka hapa Tanzania zikajikuta matatani.
Kimantiki tukio lile lilipangwa (kwa waliokuwepo uwanjani hususani jukwaa lile wanaelewa vizuri) na kuratibiwa kikamilifu huku Azam media ikihusika kwa 100%. Na hapa nitachambua kwa kina;
1. Bango lile lilikuwa kubwa, pana, refu na maridadi. Hivyo waandaji walikuwa ni watu waliojipanga vizuri.
2. Bango lile liliingizwa uwanjani bila usumbufu wowote na liliendelea kuwepo uwanjani kwa uhuru karibu muda wote wa mchezo. Hii inaashiria mamlaka za soka na usalama hapa Tanzania zilibariki tukio lile kwa 100%.
4. Bango lile liliandikwa kwa kiingereza, lengo likiwa kufikisha ujumbe kimataifa (wahusika wakijua 100% Azam Tv watarusha lile tukio!)
5. Bango lile lilikuwa limeshikiliwa kwa ujasiri na mashabiki wengi wa Al ahly (wamisri) na wachache wa simba (watanzania). Hii inaashiria ushirikishi wa pamoja.
6. Video zinaonyesha walioshirikia lile bango wakiwa standby kuchukuliwa video na Azam Tv, na wengine wakikimbilia kulifikia bango ili video inayochukuliwa iwaonyeshe. Hii inaashiria wapiga picha wa Azam walikuwa 100% attention&concious kuhakikisha ujumbe unafika.
7. Live coverage ya tukio ilikaa kwa sekunde kadhaa hewani ili kila mtazamaji aone, lakini pia kuna namna coverage ilihamia kwenye kitu kingine na haraka ikarejea kwenye tukio lile lile. Hii inaashiria umakusudi wa 100% tukio lile liende hewani.
8. Watangazaji wa Azam Tv hawakusema chochote (walikaa kimya) kama vile hawaelewi chochote wakati tukio lile likiwa hewani, huenda kwa kuwa walihisi ukakasi, hawakuandaliwa au kuogopa kitu.
9. Azam media wamekuwa na mtindo wa kurudia kuonyesha video za mechi iliyochezwa hapo kabla, hivyo wangeweza kuhariri kwa kuondoa vipande vya video vyenye utata, lakini kwa tukio la jana wameliacha vile vile mpaka sasa. Nadhani lengo ni ujumbe ufike vilivyo.
10. Mpaka sasa hivi Azam media hawajaomba radhi wala kutaka kutolea ufafanuzi tukio lile kuruka kwenye matangazo yao. Hii kuashiria Azam media wanaamini walikuwa sahihi na walijiandaa kurusha tukio lile kikamilifu.
Al Ahly licha ya kuwaunga mkono Wapalestina waziwazi wamesema hata mapato watakayoyapata katika mechi ya marudiano na Simba yooote watayapeleka kwa Wapalestina kwa hiyo Fifa itawafungia kabisa au itakuwaje?FIFA huwa hawataki mambo ya siasa michezoni. Hujawahi kusikia hilo mkuu?
FIFA, CAF, TFF, hawataki masuala ya kisiasa mpirani, fullstop.Umejitahidi sana kuandika lakini kwa hali ilivyo huko Gaza yalipaswa kuwepo mabango mengi zaidi.
Israel ni magaidi kama magaidi wengine.