Hahahaha limepoa sanaBasi nimesoma nilipo fikahapa....[emoji116]
"JIJI sasa hivi halimake HEADLINES kabisa limepoa".
Nimecheka sana.... Ila kweli huyo wa sasa labda aende kigoma tena wilaya
Kubali tu haendani na kasi ya jijiMakala weka jiji Safi, aliyeanzisha huu uzi ni mnufaika wa biashara za kuwatumia machinga ili kukwepa Kodi.
Lakini Mh.Makala nisikusifie Sana maana jioni Machinga wanaingia maeneo waliokatazwa kama kawa.
Kuwarudisha hiyo NgumuLitachangamuka vp wakati wamachinga wamefukuzwa
Nani anafaa mkuu?Makala hopeless kabisa, kazi yake kufukuza wachimba kokoto na maeneo kuwakabizi waarabu
Naona jiji linakuwa safiMakala weka jiji Safi, aliyeanzisha huu uzi ni mnufaika wa biashara za kuwatumia machinga ili kukwepa Kodi.
Lakini Mh. Makala nisikusifie Sana maana jioni Machinga wanaingia maeneo waliokatazwa kama kawa.