Siasa na Sarakasi za Jiji la Dar es Salaam zina raha na Hadhi yake. Tunawamiss sana Kandoro, Makonda na Yusuph Makamba

Siasa na Sarakasi za Jiji la Dar es Salaam zina raha na Hadhi yake. Tunawamiss sana Kandoro, Makonda na Yusuph Makamba

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,647
Reaction score
2,803
Kwa kweli Jiji la Dar es Salaam ni jiji kubwa na maarufu sana Duniani, lina hadhi ya kipekee, siasa za kipekee, burudani na sarakasi za kipekee hasa kutoka kwa wakazi na Viongozi wa jiji hilo pamoja na Burudani zilizopo.

Kuna Muda una hitajika Ubabe,
Kuna muda zinahitajika ucheshi .
Kuna muda una hitajika umakini na nk.

Kwa kifupi mbali na mapungufu yao Yote tutawamiss sana Kina Makonda, Yusuph Makamba na Kandoro.

JIJI sasa hivi halimake HEADLINES kabisa limepoa.
 
Makala hopeless kabisa, kazi yake kufukuza wachimba kokoto na maeneo kuwakabizi waarabu
 
Makala weka jiji Safi, aliyeanzisha huu uzi ni mnufaika wa biashara za kuwatumia machinga ili kukwepa Kodi.
Lakini Mh. Makala nisikusifie Sana maana jioni Machinga wanaingia maeneo waliokatazwa kama kawa.
 
Wewe hauna kazi za kufanya mpaka uwe unamiss matukio ya kiusanii ya hao watu?
 
Kwamba wasio Oga wasiingie Dar 😂😂😂
 
Basi nimesoma nilipo fikahapa....[emoji116]
"JIJI sasa hivi halimake HEADLINES kabisa limepoa".
Nimecheka sana.... Ila kweli huyo wa sasa labda aende kigoma tena wilaya
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Basi nimesoma nilipo fikahapa....[emoji116]
"JIJI sasa hivi halimake HEADLINES kabisa limepoa".
Nimecheka sana.... Ila kweli huyo wa sasa labda aende kigoma tena wilaya
Hahahaha limepoa sana
 
Makala weka jiji Safi, aliyeanzisha huu uzi ni mnufaika wa biashara za kuwatumia machinga ili kukwepa Kodi.
Lakini Mh.Makala nisikusifie Sana maana jioni Machinga wanaingia maeneo waliokatazwa kama kawa.
Kubali tu haendani na kasi ya jiji
 
Kwenye teuzi hii mama waliku zunguruka kwa kweli, Pole sana !
Waramba asali sio watu wazuri, wahuni tu kama wahuni wengine !
 
Makala weka jiji Safi, aliyeanzisha huu uzi ni mnufaika wa biashara za kuwatumia machinga ili kukwepa Kodi.
Lakini Mh. Makala nisikusifie Sana maana jioni Machinga wanaingia maeneo waliokatazwa kama kawa.
Naona jiji linakuwa safi
 
Back
Top Bottom