Siasa pembeni, Polepole Vs Nape? Nani kichwa

Polepole hashindani na Nape, Polepole anashindana na mfumo wa CCM unaomzuia yeye kutoa maoni yake juu ya CCM yake na Serikiali kwa ujumla. Nape kajiingiza tu lakini si mlengwa.
 
Nape namfananisha Na timu za Mchangani kule geza ulole Na Polepole ni timu kubwa daraja la kwa kwanza kama Simba Na Yanga.
 
Tuweke Kila Kitu pembeni , Yani tuwe Kama wachambuzi wa soka, uchama pembeni, nataka Leo tumalize utata wa nani mkali na Ana akili na IQ kubwa Kati ya Nape na Pole Pole , Achaneni na mambo yaliyofanyika huko nyuma wafanyieni assement Kama neutral candidate, tujikite katika mambo yafuatayo:

1. Uchambuzi wa hoja mbalimbali za kiuchumi , siasa, historia, dunia Kiujumla.
2. Elimu , nani kasoma sana na muelewa zaidi.
3. Unahisi nani mzalendo zaidi na yupi mwenye uthubutu.
4. Nani anafaa Kama ungeambiwa uchague rais wa nchi Kati yao.
5. Any other opinion from u
hawa wote ni viroboto wa kutupwa. wana character moja. hulia wanapokosa uteuzi. nape anashangilia maana mroithi wake naye katupwa .
 
Polepole yuko Juu zaid ya Nape. Nape yuko tayari afe analinda fadhira ya msoga.
 
Tuweke Kila Kitu pembeni , Yani tuwe Kama wachambuzi wa soka, uchama pembeni, nataka Leo tumalize utata wa nani mkali na Ana akili na IQ kubwa Kati ya Nape na Pole Pole , Achaneni na mambo yaliyofanyika huko nyuma wafanyieni assement Kama neutral candidate, tujikite katika mambo yafuatayo:

1. Uchambuzi wa hoja mbalimbali za kiuchumi , siasa, historia, dunia Kiujumla.
2. Elimu , nani kasoma sana na muelewa zaidi.
3. Unahisi nani mzalendo zaidi na yupi mwenye uthubutu.
4. Nani anafaa Kama ungeambiwa uchague rais wa nchi Kati yao.
5. Any other opinion from u
Wote hao ni wachumia tumbo. Tofauti yao ni kwamba Nape ni mwepesi kukubali matokeo ya mnyukano ndani ya chama!! Akinyukwa ni mwepesi kuitia "hewala" ili yaishe!! Pole pole ni mpambanaji mzuri!! anajiamini!! japo wote hao ni wachumia tumbo!!
 
In reality pole pole is great thinker and master mind...
 
Tuweke Kila Kitu pembeni , Yani tuwe Kama wachambuzi wa soka, uchama pembeni, nataka Leo tumalize utata wa nani mkali na Ana akili na IQ kubwa Kati ya Nape na Pole Pole , Achaneni na mambo yaliyofanyika huko nyuma wafanyieni assement Kama neutral candidate, tujikite katika mambo yafuatayo:

1. Uchambuzi wa hoja mbalimbali za kiuchumi , siasa, historia, dunia Kiujumla.
2. Elimu , nani kasoma sana na muelewa zaidi.
3. Unahisi nani mzalendo zaidi na yupi mwenye uthubutu.
4. Nani anafaa Kama ungeambiwa uchague rais wa nchi Kati yao.
5. Any other opinion from u
Polepole ni Kichwa ZAIDI NA ANAJENGA HOJA
 
Polepole kichwa we acha tu
Nakubali Polepole ni kichwa japo si mzalendo wa kweli kama anavyodai!! Anaangalia maslahi!! Maslahi yake yakipokonywa anajisogeza kwa wananchi na kuanza usanii wa maneno wakati hakuna chochote!! Shule ya uongozi ni vijembe kwa waliomtema!! Anakumbuka alivyotemeshwa V8!!! Mpe V8?" leo kwa gharama za umma utakuwa ndio mwisho wa shule ya uongozi!!! Alivyosogezwa kwenye system hapo awali ilikuwa ndo mwisho wa makali yake kwenye JUKWAA LA KATIBA!!!! Pole pole mwenye njaa ni moto wa kuotea mbali!! Pole pole ana njaa!! wenye akili zao wanajua hivyo na hawana presha naye!! Pole pole aliyeshiba ni kituko hujawahi kuona!!, atakuuliza "unaijua V8 wewe?" hayo ndiyo magari tunayotembelea!! hutamsikia anaongea habari za wamachinga wala nini!! Mama akimsikia hana mbavu!!! ila kwa huruma za mama muda si mrefu atayazimisha makelele ya pole pole ndani ya dk sifuri!! ni kumtupia tu tonge mdomoni tena na shule ya uongozi inafungwa jumla!
 
Miaka Saba (7) iliyopita wanaJF wakimuelezea Polepole!😁.

Wabongo bhana.
 
Pole pole huwezi kumfananisha na Nape..

Uwezo wa pole pole ni mkubwa sana tena sanaaaa.
 
Tuweke Kila Kitu pembeni , Yani tuwe Kama wachambuzi wa soka, uchama pembeni, nataka Leo tumalize utata wa nani mkali na Ana akili na IQ kubwa Kati ya Nape na Pole Pole , Achaneni na mambo yaliyofanyika huko nyuma wafanyieni assement Kama neutral candidate, tujikite katika mambo yafuatayo:

1. Uchambuzi wa hoja mbalimbali za kiuchumi , siasa, historia, dunia Kiujumla.
2. Elimu , nani kasoma sana na muelewa zaidi.
3. Unahisi nani mzalendo zaidi na yupi mwenye uthubutu.
4. Nani anafaa Kama ungeambiwa uchague rais wa nchi Kati yao.
5. Any other opinion from u
Nappe dawa lako lipo jikoni linachemka taratibu muulize Membe kilichompata kuhusu pesa alizokuwa nazo nje amepewa siku 180 awe ameleta ushahidi wa kuonesha ni Kweli ni mali yake halali siyo aliyoiba kwa miaka (10) akiwa waziri kwenye utawala wa kaka yake kafiri lililomuua Magufuli [emoji23] na wewe nakuhurumia sana maana mambo yako ninayo bado asilimia 30% yakae mikononi mwangu

-Membe Account PIN South Africa

-Ridhiwani Account PIN Italian

Next......[emoji2958]

Ridhiwani Kiwete pale Italian mambo ni moto pesa kwenye Account PIN [emoji2960]

Halafu umwambie huyu kunguni wenu wa Zanzibar sijui Samiah kwamba yule Balozi aliyetuma kunifungulia kesi dhidi sijui ya Jamuhuri hajui kiingereza amtume mwingine anachapia kinoma hadi mahakama inacheka [emoji2960] mwambie Mimi haniwezi namuona mbwa kama mbwa wengine [emoji2958]

DAWA LAKO LINACHEMKA SOON UTANYWESHWA [emoji6]
 
Back
Top Bottom