Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Tofauti za kimitazamo zisitufanye tufikie ccm inapotaka kutupeleka.. Kuna mwanachama mmoja hapa jukwaani katamka wazi kwamba Anamchukia sana Tundu Lissu Mwenyekiti mpya CHADEMA
Wote tunafahamu ccm walipenda nani apite na tunajua kwa hakika waliwekeza nguvu kubwa kiasi gani, muda, nyenzo na pe sa pia. Lakini bado wakaangukia pua
Ukisoma riwaya ya Mtunzi maarufu James Hadley Chase ya A sucker punch.. basi unaweza kuona ni kipigo gani cha maudhi ccm imekipata!😂
Anyway...! Mbwa ni mlinzi mzuri sana na mwaninifu pia... Lakini kamwe paka hawezi kumuonesha polisi bangi ilipofichwa...!!!