Chief Mwigendya
Senior Member
- Nov 28, 2024
- 172
- 136
Halafu uhuni huo ukabarikiwa na mzee wa chama bila aibu kabisaaaa.Ule ni uhuni wa kiwango cha juu sana halafu wanaume na kende zao zinaning'inia wanashangilia na kukenua kama mazuzu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu uhuni huo ukabarikiwa na mzee wa chama bila aibu kabisaaaa.Ule ni uhuni wa kiwango cha juu sana halafu wanaume na kende zao zinaning'inia wanashangilia na kukenua kama mazuzu.
Walikusanyana Wajumbe 2000 kuke idodomya. Wakikaa zaidi ya wiki nzima wasijue cha kufanya.Nafikir ungeanza kuhoji kama CHADEMA walimpongeza Rais Samia kwa kuaminiwa na kuteuliwa kuwa mgombe wa uraisi.
Pili, ungehoji kama CHADEMA walimpongeza Mh Wasira kwa kuteuliwa kuwa Makamu mwenyekiti bara.
Shida ya watu dhaifu ni kuhisi kila wakati wanataka wao ndio wabembelezwe.
Je huyu waziri wenu umemuelewa?Gentleman,
nadhani kwa chama chenye dhamana na wajibu mzito na muhimu wa kuongoza nchi, hapatakua na muda, nafasi wala fursa ya kubabaika na mambo ya vyama vingine badala ya kujikita katika agenda muhimu ya kuhakikisha ilani ya uchaguzi ya CCM inatekelezwa kwa vitendo na Serikali sikivu ya wanainchi madarakani 🐒
yuko sahihi na anaeleweka sawa sawia gentleman.Je huyu waziri wenu umemuelewa?
View attachment 3210574
Ndiyo izingatiwe sana hiyo " SAUTI YA WATU"Siasa inaamua maisha yaendeje maana yake kuanzia
Afya zetu
Elimu yetu
Biashara zetu
Miundombinu Kama barabara ,maji, umeme , yote haya yanaathiriwa na siasa moja Kwa moja.
Hivyo Kazi kubwa ambayo naona wanayo viongozi wa upinzani ni kuhakikisha wanasambaza Elimu ya uraia Kwa watz wengi ili waamke na kujua ukweli.
Ni kweli Ccm inaweza kuwa inamiliki kila kitu cha kuwafanya waendelee kusalia madarakani Ila Ccm hawa hawa hawana uwezo wa kupambana na wakati.
Mbowe na team yake akiwemo Dr Slaa hawa watu walifanya Kazi kubwa Sana hasa kuanzia 2004-2015 katika kukijenga hiki chama.
hapa katikati baada ya ujio wa JPM Chadema iliyumba hasa walipoambia wasifanye mikutano ya hadhara .
Kiukweli kuanzia 2015 baada ya uchaguzi bado chadema haijarudi katika ule mwamko wake .
Nategemea Lissu na Viongozi wenzake wafikirie hasa hilo swala la kuwa sauti ya WATU.
Imekugusa hiyoUko Kichawi Chawi sana 🐼
Walienda Dodoma kubadilishana virusi vya ukimwi tu.Walikusanyana Wajumbe 2000 kuke idodomya. Wakikaa zaidi ya wiki nzima wasijue cha kufanya.
Kumbe Mgombea Mmoja amejiteua😅😅
Credit: Bush Dokta
Kwa akili za kawaida kabisa hapo utapongeza nini sasa!? Kujiteua?
kwa CCM siasa ni chuki,fitina,kuwekeana sumu uchawi majungu pia kutekana pumbafu fisiemTofauti za kimitazamo zisitufanye tufikie ccm inapotaka kutupeleka.. Kuna mwanachama mmoja hapa jukwaani katamka wazi kwamba Anamchukia sana Tundu Lissu Mwenyekiti mpya CHADEMA
Wote tunafahamu ccm walipenda nani apite na tunajua kwa hakika waliwekeza nguvu kubwa kiasi gani, muda, nyenzo na pe sa pia. Lakini bado wakaangukia pua
Ukisoma riwaya ya Mtunzi maarufu James Hadley Chase ya A sucker punch.. basi unaweza kuona ni kipigo gani cha maudhi ccm imekipata!😂
Anyway...! Mbwa ni mlinzi mzuri sana na mwaninifu pia... Lakini kamwe paka hawezi kumuonesha polisi bangi ilipofichwa...!!!View attachment 3210422
yuko sahihi na anaeleweka sawa sawia gentleman.
wanaodai haki ni sharti wawajibike katika kutii na kuzingatia ilani za kiusalama, sheria na katiba ya nchi.
ni rahisi sana kupata usawa na kufanya kazi ya siasa kwa uhuru kama wadau wa siasa na demokrasia na taifa kwa ujumla 🐒
Msikilize tena .. Kuna napungufu makubwa between the lines..yuko sahihi na anaeleweka sawa sawia gentleman.
wanaodai haki ni sharti wawajibike katika kutii na kuzingatia ilani za kiusalama, sheria na katiba ya nchi.
ni rahisi sana kupata usawa na kufanya kazi ya siasa kwa uhuru kama wadau wa siasa na demokrasia na taifa kwa ujumla 🐒
Halaffu jana wameandamana kumpongeza, na soon wanaandaa mpango wa agombee tena 2030Kumbe Mgombea Mmoja amejiteua😅😅😅
huenda ni ya kibinadamu kitu ambacho ni kawaida gentleman,Msikilize tena .. Kuna napungufu makubwa between the lines..
DUuhkwa CCM siasa ni chuki,fitina,kuwekeana sumu uchawi majungu pia kutekana pumbafu fisiem
Kila timu ishinde mechi zake!CDM wenyewe lini waliwahi kuipongeza CCM? Iwe kumpata kiongozi mpya ama CCM kushinda uchaguzi.
Siasa ni sayansi