Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yupo wa kukinga kifua, wassiraHawakulitegemea hili ndugu... Mbowe kwa siasa za ccm nadhani alikua mbwa mzee asojua kunusa tena...walimtaka kwa siasa zake za kikondoo in the name of maridhiano...sasa Samia na chama chake wapunguze zile 4R kwa kuziwekea radical ili zibaki 2R maana huyu mtukutu Lisu atamzeesha tu mapema.
kuna watu waliteuliwa inamaana hawakustahili pongezi mbona nyinyi mnahitaji pongezi...?Hakukuwa na mkutano kule walikusanya kisha kabla ya kujua kilichowapeleka wakaambiwa mitano tena ... Kisha wakaenda town kuacha na kubeba mbegu
Ni kukosa tu maono...wasira yupo tokea ccm haijazaliwa hadi ina vitukuu..ana lipi jipya ...labda kuhadithia watoto wa kizazi hiki hadithi za bulicheka na mfalme juha kwa kuwa hawakuzikutayupo wa kukinga kifua, wassira
Yaani mtu kama ameandikwa kwenda motoni huyo ni wa motoni tu.Yaani ktk uzee wake badala ya kutulia na kutubu madhambi akiyoyafanya tangu ujana, kutokana siasa haranu, anaongeza mengine. Dah!
haha!Hakuna uteuzi ulifanyika bali kuna majina yalitangazwa bila utaratibu na kihuni kabisa
😀😀😀Walikusanyana Wajumbe 2000 kuke idodomya. Wakikaa zaidi ya wiki nzima wasijue cha kufanya.
Kumbe Mgombea Mmoja amejiteua😅😅😅
Hii imeenda,maana kuna mtu anasema kuwa Katiba ni kijitabu fulani tu hivi,mtu kama huyu kweli inahitaji muda mrefu kumsomesha.Tundu Lissu ni kiongozi mzuri Sana Ila nataka niongee kitu hapa .
Tundu lissu huwa anaongea katika ufahamu wa juu Sana .
Natamani awe anafikiria na hili swala mfano katika kujadili katiba ya nchi n.k ajaribu pia kushusha ufahamu ili kuhakikisha ujumbe unaeleweka kwa watu wengi zaidi.
Maana kuna watu hata katiba hajui ni kitu gani au inahusu nini .
Nafikir ungeanza kuhoji kama CHADEMA walimpongeza Rais Samia kwa kuaminiwa na kuteuliwa kuwa mgombe wa uraisi.Tofauti za kimitazamo zisitufanye tufikie ccm inapotaka kutupeleka.. Kuna mwanachama mmoja hapa jukwaani katamka wazi kwamba Anamchukia sana Tundu Lissu Mwenyekiti mpya CHADEMA
Wote tunafahamu ccm walipenda nani apite na tunajua kwa hakika waliwekeza nguvu kubwa kiasi gani, muda, nyenzo na pe sa pia. Lakini bado wakaangukia pua
Ukisoma riwaya ya Mtunzi maarufu James Hadley Chase ya A sucker punch.. basi unaweza kuona ni kipigo gani cha maudhi ccm imekipata!😂
Anyway...! Mbwa ni mlinzi mzuri sana na mwaninifu pia... Lakini kamwe paka hawezi kumuonesha polisi bangi ilipofichwa...!!!View attachment 3210422
😀😀😀Hiii mkuu haina ulazima sana,Je CDM walimpongeza Ccm uteuzi wa Wasira?na je wakisihii na Chadema ipongeze itakuwaje?
Uko Kichawi Chawi sana 🐼Ishi nayo hiiView attachment 3210435
CCM hatukumtaka huyo. Tulimtaka Mbowe. Unatutonesha kidonga. Pleaaase tuheshimiane. Lissu hatukumtaka sababu sisi CCM tunaona atakiua chama cha cdm.Tofauti za kimitazamo zisitufanye tufikie ccm inapotaka kutupeleka.. Kuna mwanachama mmoja hapa jukwaani katamka wazi kwamba Anamchukia sana Tundu Lissu Mwenyekiti mpya CHADEMA
Wote tunafahamu ccm walipenda nani apite na tunajua kwa hakika waliwekeza nguvu kubwa kiasi gani, muda, nyenzo na pe sa pia. Lakini bado wakaangukia pua
Ukisoma riwaya ya Mtunzi maarufu James Hadley Chase ya A sucker punch.. basi unaweza kuona ni kipigo gani cha maudhi ccm imekipata!😂
Anyway...! Mbwa ni mlinzi mzuri sana na mwaninifu pia... Lakini kamwe paka hawezi kumuonesha polisi bangi ilipofichwa...!!!View attachment 3210422
We acha tu.... Dodoma ikawa tunakula tu mademu. Hakuna cha kufanya. Mgombea ameshajiteua mwenyewe.Walikusanyana Wajumbe 2000 kuke idodomya. Wakikaa zaidi ya wiki nzima wasijue cha kufanya.
Kumbe Mgombea Mmoja amejiteua😅😅😅
Gentleman,Tofauti za kimitazamo zisitufanye tufikie ccm inapotaka kutupeleka.. Kuna mwanachama mmoja hapa jukwaani katamka wazi kwamba Anamchukia sana Tundu Lissu Mwenyekiti mpya CHADEMA