Siasa sio ugomvi bali ni ujenzi wa hoja.. Je ccm wamempongeza LISSU?

yupo wa kukinga kifua, wassira
 
Hakukuwa na mkutano kule walikusanya kisha kabla ya kujua kilichowapeleka wakaambiwa mitano tena ... Kisha wakaenda town kuacha na kubeba mbegu
kuna watu waliteuliwa inamaana hawakustahili pongezi mbona nyinyi mnahitaji pongezi...?
 
Mkuu kuna zile siasa fulani alikuwa akizifanya Dr slaa zile zilikuwa siasa zenye kuleta mwamko Kwa wananchi.


Japokuwa Slaa walipishana Ila naamini alikuwa ni hazina .


Zile siasa za Ku-link na jamii moja Kwa moja zinabidi kurudi .
 
Tundu Lissu ni kiongozi mzuri Sana Ila nataka niongee kitu hapa .

Tundu lissu huwa anaongea katika ufahamu wa juu Sana .

Natamani awe anafikiria na hili swala mfano katika kujadili katiba ya nchi n.k ajaribu pia kushusha ufahamu ili kuhakikisha ujumbe unaeleweka kwa watu wengi zaidi.


Maana kuna watu hata katiba hajui ni kitu gani au inahusu nini .
 
Hii imeenda,maana kuna mtu anasema kuwa Katiba ni kijitabu fulani tu hivi,mtu kama huyu kweli inahitaji muda mrefu kumsomesha.
 
Nafikir ungeanza kuhoji kama CHADEMA walimpongeza Rais Samia kwa kuaminiwa na kuteuliwa kuwa mgombe wa uraisi.


Pili, ungehoji kama CHADEMA walimpongeza Mh Wasira kwa kuteuliwa kuwa Makamu mwenyekiti bara.


Shida ya watu dhaifu ni kuhisi kila wakati wanataka wao ndio wabembelezwe.
 
Hiii mkuu haina ulazima sana,Je CDM walimpongeza Ccm uteuzi wa Wasira?na je wakisihii na Chadema ipongeze itakuwaje?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Sasa pale aisee
Ila mvua mwaka huu zinasuasua sana. Nadhani Waafrika Sasa tujikite katika kutafuta dawa za magonjwa sugu Kama Kanda na Ukimwi maana wenzetu wameona wajitoe WHO
 
CCM hatukumtaka huyo. Tulimtaka Mbowe. Unatutonesha kidonga. Pleaaase tuheshimiane. Lissu hatukumtaka sababu sisi CCM tunaona atakiua chama cha cdm.
 
Walikusanyana Wajumbe 2000 kuke idodomya. Wakikaa zaidi ya wiki nzima wasijue cha kufanya.

Kumbe Mgombea Mmoja amejiteuaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
We acha tu.... Dodoma ikawa tunakula tu mademu. Hakuna cha kufanya. Mgombea ameshajiteua mwenyewe.
 
Gentleman,
nadhani kwa chama chenye dhamana na wajibu mzito na muhimu wa kuongoza nchi, hapatakua na muda, nafasi wala fursa ya kubabaika na mambo ya vyama vingine badala ya kujikita katika agenda muhimu ya kuhakikisha ilani ya uchaguzi ya CCM inatekelezwa kwa vitendo na Serikali sikivu ya wanainchi madarakani πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…