Siasa sio ugomvi bali ni ujenzi wa hoja.. Je ccm wamempongeza LISSU?

Walikusanyana Wajumbe 2000 kuke idodomya. Wakikaa zaidi ya wiki nzima wasijue cha kufanya.

Kumbe Mgombea Mmoja amejiteuaπŸ˜…πŸ˜…
Credit: Bush Dokta
Kwa akili za kawaida kabisa hapo utapongeza nini sasa!? Kujiteua?
 
CCM hatukumtaka huyo. Tulimtaka Mbowe. Unatutonesha kidonga. Pleaaase tuheshimiane. Lissu hatukumtaka sababu sisi CCM tunaona atakiua chama cha cdm.
Lissu hatukumtaka sababu sisi CCM tunaona atakiua chama cha cdm.πŸ₯±πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Je huyu waziri wenu umemuelewa?
Your browser is not able to display this video.
 
Je huyu waziri wenu umemuelewa?
View attachment 3210574
yuko sahihi na anaeleweka sawa sawia gentleman.

wanaodai haki ni sharti wawajibike katika kutii na kuzingatia ilani za kiusalama, sheria na katiba ya nchi.

ni rahisi sana kupata usawa na kufanya kazi ya siasa kwa uhuru kama wadau wa siasa na demokrasia na taifa kwa ujumla πŸ’
 
Ndiyo izingatiwe sana hiyo " SAUTI YA WATU"
 
kwa CCM siasa ni chuki,fitina,kuwekeana sumu uchawi majungu pia kutekana pumbafu fisiem
 
 
Msikilize tena .. Kuna napungufu makubwa between the lines..
 
CDM wenyewe lini waliwahi kuipongeza CCM? Iwe kumpata kiongozi mpya ama CCM kushinda uchaguzi.

Siasa ni sayansi
 
Siyo lazima bwana mjue mawasiliano yao yawezakuwa wamewasiliana kwa njia ya simu wakapongezana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…