PreGE2025 Siasa siyo Jukwaa la Ubaguzi: Wanaume wakome kuwadhalilisha Wanawake kwa Kauli za kubeza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
No Reforms, No Election

Nimeangalia video inayomuonesha Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, akitoa maneno makali dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa Mlimba na mwanachama wa CHADEMA, Suzan Kiwanga. Kauli hizo zimeacha maswali mengi kuhusu heshima, utu, na nafasi ya mwanamke katika siasa za Tanzania.

Ni kweli kuwa Heche anatoka katika jamii ambayo baadhi ya mitazamo ya kitamaduni imekuwa ikimpa mwanamume nafasi ya juu zaidi kuliko mwanamke. Hata hivyo, mitazamo hiyo haipaswi kuwa kisingizio cha kuendeleza mfumo dume, hasa kupitia jukwaa la kisiasa ambalo linapaswa kuwa mfano wa usawa na ustaarabu kwa jamii pana.

Maneno aliyoyatumia si tu yalidhalilisha, bali yalibeba dhana ya ubaguzi wa kijinsia, yakijaribu kuigawa jamii ya wanawake kati ya waliopata elimu ya juu na wale ambao hawakupata fursa hiyo. Aidha, alionekana kuwashusha thamani wanawake wasiokuwa na ajira rasmi hasa mama wa nyumbani kama watu wasio na haki ya kushiriki katika mustakabali wa taifa letu.

Badala ya mihemko, tunahitaji hoja zenye heshima, ambazo zinajenga demokrasia na siasa za kistaarabu. Hivyo basi, nitoe wito kwa wanasiasa wote hasa wa kiume kutumia majukwaa ya kisiasa kujenga, si kubomoa. Tuweke mbele utu, usawa wa kijinsia, na heshima kwa kila raia bila kujali nafasi yao ya kijamii au kijinsia.
 
alisemaje? wote hatusikilizi mkutano kila wakati
 
NO REFORM NO ELECTION
# NRNE
 
Mungu mwenyewe alitutenganisha,wanadamu tunataka jinsia iwe sawa ,mi Huwa sielewi
 
Siku zote ukweli unauma. Kwa hiyo hakuna jipya hapo.
 
Ila kauli ya mbunge wenu kuita watu kenge sio ya kibaguzi. Idiots
Mbunge wetu na nani? Mimi sina mbunge kutoka Zanzibar. Pamoja na hayo, bado sikukubaliana na kauli yake kutuita Kenge.
 
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
 
Back
Top Bottom