PreGE2025 Siasa siyo Jukwaa la Ubaguzi: Wanaume wakome kuwadhalilisha Wanawake kwa Kauli za kubeza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
No Reforms, No Election

Nimeangalia video inayomuonesha Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, akitoa maneno makali dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa Mlimba na mwanachama wa CHADEMA, Suzan Kiwanga. Kauli hizo zimeacha maswali mengi kuhusu heshima, utu, na nafasi ya mwanamke katika siasa za Tanzania.

Ni kweli kuwa Heche anatoka katika jamii ambayo baadhi ya mitazamo ya kitamaduni imekuwa ikimpa mwanamume nafasi ya juu zaidi kuliko mwanamke. Hata hivyo, mitazamo hiyo haipaswi kuwa kisingizio cha kuendeleza mfumo dume, hasa kupitia jukwaa la kisiasa ambalo linapaswa kuwa mfano wa usawa na ustaarabu kwa jamii pana.

Maneno aliyoyatumia si tu yalidhalilisha, bali yalibeba dhana ya ubaguzi wa kijinsia, yakijaribu kuigawa jamii ya wanawake kati ya waliopata elimu ya juu na wale ambao hawakupata fursa hiyo. Aidha, alionekana kuwashusha thamani wanawake wasiokuwa na ajira rasmi hasa mama wa nyumbani kama watu wasio na haki ya kushiriki katika mustakabali wa taifa letu.

Badala ya mihemko, tunahitaji hoja zenye heshima, ambazo zinajenga demokrasia na siasa za kistaarabu. Hivyo basi, nitoe wito kwa wanasiasa wote hasa wa kiume kutumia majukwaa ya kisiasa kujenga, si kubomoa. Tuweke mbele utu, usawa wa kijinsia, na heshima kwa kila raia bila kujali nafasi yao ya kijamii au kijinsia.
No reforn no election
 
Ukitaka ustaarabu,usijihusishe na siasa.Ukishangaashangaa utaambiwa hadi rangi ya boksa na shanga ulizovaa kiunoni.Mbona Heche alikuwa anaeleza ukweli mtupu?Au neno udhalilishaji una maana nyingine?
 
No Reforms, No Election

Nimeangalia video inayomuonesha Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, akitoa maneno makali dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa Mlimba na mwanachama wa CHADEMA, Suzan Kiwanga. Kauli hizo zimeacha maswali mengi kuhusu heshima, utu, na nafasi ya mwanamke katika siasa za Tanzania.

Ni kweli kuwa Heche anatoka katika jamii ambayo baadhi ya mitazamo ya kitamaduni imekuwa ikimpa mwanamume nafasi ya juu zaidi kuliko mwanamke. Hata hivyo, mitazamo hiyo haipaswi kuwa kisingizio cha kuendeleza mfumo dume, hasa kupitia jukwaa la kisiasa ambalo linapaswa kuwa mfano wa usawa na ustaarabu kwa jamii pana.

Maneno aliyoyatumia si tu yalidhalilisha, bali yalibeba dhana ya ubaguzi wa kijinsia, yakijaribu kuigawa jamii ya wanawake kati ya waliopata elimu ya juu na wale ambao hawakupata fursa hiyo. Aidha, alionekana kuwashusha thamani wanawake wasiokuwa na ajira rasmi hasa mama wa nyumbani kama watu wasio na haki ya kushiriki katika mustakabali wa taifa letu.

Badala ya mihemko, tunahitaji hoja zenye heshima, ambazo zinajenga demokrasia na siasa za kistaarabu. Hivyo basi, nitoe wito kwa wanasiasa wote hasa wa kiume kutumia majukwaa ya kisiasa kujenga, si kubomoa. Tuweke mbele utu, usawa wa kijinsia, na heshima kwa kila raia bila kujali nafasi yao ya kijamii au kijinsia.

NA NYIE WANAWAKE MPAMBANE ACHENI KUPATA UBUNGE KWA VITU MAALUM.
 
Mbona hakuna neno baya lililotajwa hapo, labda kama video uliyopost imekatwa maneno, maana Heche anasimulia before and after ya huyo mama...

Nanukuu matamshi ya Heche...

"Huyu mama huyu, alikuwa mama wa ndani hana elimu yeyote ya kutosha hata ya kuwa mbunge, Chadema ikampa ubunge, ikamfanya mbunge wa viti maalumu, akalipwa mshaha..., alikuwa hana hata nyumba ya kukaa anaishi kwenye nyumba ya upangaji..."

Maneno aliyoyatumia si tu yalidhalilisha, bali yalibeba dhana ya ubaguzi wa kijinsia, yakijaribu kuigawa jamii ya wanawake kati ya waliopata elimu ya juu na wale ambao hawakupata fursa hiyo. Aidha, alionekana kuwashusha thamani wanawake wasiokuwa na ajira rasmi hasa mama wa nyumbani kama watu wasio na haki ya kushiriki katika mustakabali wa taifa letu.
 
Hawa Chadema wajinga, sasa anasema walimpa ubunge was viti maalum mtu aliyekuwa hana elimu, na alikuwa mfanyakazi was ndani

So huo ubunge wa viti maalum wanatoa bila kuzingatia merit? Sasa kama "wanawapa" uongozi watu wasio na elimu wala uelewa tutarajie wakiunda serikali watafanya hivyo hivyo au tofauti?
Kila Sikh mtandaoni kukikosoa wabunge was CCM kuwa hawana uwezo kumbe nyie pia mnawapa ubunge wasio na uwezo?
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Nasimama na Heche

Kwani kasemaje kwanza?
Ndio tabia ya unyumbu.Hujui hata kasemaje lakini unasimama nae.Kuna siku atasimama aseme yeye analiwa na wewe utasimama nae. Herd thinking haijawahi kuwaacha wajinga salama.
 
No Reforms, No Election

Nimeangalia video inayomuonesha Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, akitoa maneno makali dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa Mlimba na mwanachama wa CHADEMA, Suzan Kiwanga. Kauli hizo zimeacha maswali mengi kuhusu heshima, utu, na nafasi ya mwanamke katika siasa za Tanzania.

Ni kweli kuwa Heche anatoka katika jamii ambayo baadhi ya mitazamo ya kitamaduni imekuwa ikimpa mwanamume nafasi ya juu zaidi kuliko mwanamke. Hata hivyo, mitazamo hiyo haipaswi kuwa kisingizio cha kuendeleza mfumo dume, hasa kupitia jukwaa la kisiasa ambalo linapaswa kuwa mfano wa usawa na ustaarabu kwa jamii pana.

Maneno aliyoyatumia si tu yalidhalilisha, bali yalibeba dhana ya ubaguzi wa kijinsia, yakijaribu kuigawa jamii ya wanawake kati ya waliopata elimu ya juu na wale ambao hawakupata fursa hiyo. Aidha, alionekana kuwashusha thamani wanawake wasiokuwa na ajira rasmi hasa mama wa nyumbani kama watu wasio na haki ya kushiriki katika mustakabali wa taifa letu.

Badala ya mihemko, tunahitaji hoja zenye heshima, ambazo zinajenga demokrasia na siasa za kistaarabu. Hivyo basi, nitoe wito kwa wanasiasa wote hasa wa kiume kutumia majukwaa ya kisiasa kujenga, si kubomoa. Tuweke mbele utu, usawa wa kijinsia, na heshima kwa kila raia bila kujali nafasi yao ya kijamii au kijinsia.
Huenda Heche aliteleza ulimi kutokana na hasira na hasira alokua nayo kwa hao waliohama chama wakiwa hawana sababu za msingi na kutaka kuigawq CHADEMA anaona wamekosa fadhira, ukikumbuka mateso kipindi cha jiwe wananchi walijitoa sana kwa hawa wanawake , rejea Esta Matiko alibinywa tako na askari kule Serengeti, akina Halima ,Esta Bulaya walipewa hukumu ya kulipa mamilioni ya pesa watu wakachanga leo wanawasaliti wananchi kwa shekeli 30 .
Ni hasira tu na ukisema mfumo dume Mkoa wa Mara ni kama haupo angalia
Esta Bulaya -Bunda
Esta Matiko- Tarime
CPA Catherine Ruge- Serengeti

Heche alitaka kufundisha watu wasiache ugali wa dona kwa pilau ya ubarikio.
 
Ndio tabia ya unyumbu.Hujui hata kasemaje lakini unasimama nae.Kuna siku atasimama aseme yeye analiwa na wewe utasimama nae. Herd thinking haijawahi kuwaacha wajinga salama.
20250607_162019.jpg
 
Wanawake ni mama zetu ila kuna wanawake WAPUMBAVU ni lazima waambiwe ukweli.

No Reforms no elecrion
 
Anza kukemea kwanza uliposimama,
Huyo Suzanna yupo wapi au ameshaunga behewa la kijani?
 
Tatizo wafuasi wa CHADEMA huwa hawataki kabisa kukubali kukosea na kuchukua hatua kujirekebisha hata kwa makosa ya wazi kabisa. Hapo HECHE kachemka vibaya ila nyumbu zinatetea ujinga. Kwa huu ujinga wa wanaCHADEMA ninasapoti kabisa CCM iendelee kuwakazia. Hawa wahuni wanaojiona watakatifu wakiingia Ikulu watakuwa makatili kuliko CCM.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Tumeanza kuwaingilia ovyoovyo mmeanza kutafuta huruma ya udhalilishwaje vp wanaume walioingziwa kitu matakoni..tulia dawa iwaingie
 
No Reforms, No Election

Nimeangalia video inayomuonesha Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, akitoa maneno makali dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa Mlimba na mwanachama wa CHADEMA, Suzan Kiwanga. Kauli hizo zimeacha maswali mengi kuhusu heshima, utu, na nafasi ya mwanamke katika siasa za Tanzania.

Ni kweli kuwa Heche anatoka katika jamii ambayo baadhi ya mitazamo ya kitamaduni imekuwa ikimpa mwanamume nafasi ya juu zaidi kuliko mwanamke. Hata hivyo, mitazamo hiyo haipaswi kuwa kisingizio cha kuendeleza mfumo dume, hasa kupitia jukwaa la kisiasa ambalo linapaswa kuwa mfano wa usawa na ustaarabu kwa jamii pana.

Maneno aliyoyatumia si tu yalidhalilisha, bali yalibeba dhana ya ubaguzi wa kijinsia, yakijaribu kuigawa jamii ya wanawake kati ya waliopata elimu ya juu na wale ambao hawakupata fursa hiyo. Aidha, alionekana kuwashusha thamani wanawake wasiokuwa na ajira rasmi hasa mama wa nyumbani kama watu wasio na haki ya kushiriki katika mustakabali wa taifa letu.

Badala ya mihemko, tunahitaji hoja zenye heshima, ambazo zinajenga demokrasia na siasa za kistaarabu. Hivyo basi, nitoe wito kwa wanasiasa wote hasa wa kiume kutumia majukwaa ya kisiasa kujenga, si kubomoa. Tuweke mbele utu, usawa wa kijinsia, na heshima kwa kila raia bila kujali nafasi yao ya kijamii au kijinsia.
Maneno makali ndio yanayowafaa wajinga na Malaya wa kwenye siasa na hiyo ni dawa ya kuwatibu.
 
Back
Top Bottom