Siasa ya Mafuta na Gesi: Kuibadili gesi asilia kuwa mafuta ya petroli inaweza punguza gharama tunazotumia kuagiza mafuta hayo kutoka mataifa ya nje

Petroli ni moja ya mafuta ambayo huagizwa kutoka katika mataifa ya nje kwa ajili ya kutumiwa katika magari madogo na ya kati.

Mafuta ya petroli ambayo yanaigizwa kutoka mataifa ya nje yanachukua karibia robo (1/4) ya bidhaa za mafuta ambayo huagizwa kutoka mataifa ya nje kama ilivyo ripotiwa na EWURA mwaka 2014.

Sasa kwakuwa mafuta ya Petroli ya gredi ya juu kabisa yanaweza kuzalishwa kwa kutumia gesi asilia. Mradi huu unaweza kuokoa kiasi kikubwa cha fedha ambazo zinatumika kuagiza mafuta kutoka mataifa ya nje kila mwaka.

Kama tukijenga kiwanda chenye uwezo wa 0.23MTPA kinaweza kutoka mapipa 6350 ya Petroli kwa siku (6350bpd).

Mapipa hayo yataweza kupunguza asilimia 27 za Petroli na 36 za gesi ya LPG ambazo huwa tunaziagiza kutoka katika mataifa ya nje.

Hapa chini ni prosesi nzima inayo onyesha hatua zaa kuibadirisha gesi asilia kuwa petroli (gasoline).

Kwenye gesi asilia kuna kampaundi yenye kabon atom moja (C1) ambayo ni methane kwa jina la kitaalamu hivyo tutafanya miungano ya kikemikali ili kutengeneza kampaundi zenye kaboni atom kuanzia tano (C5) hadi kaboni atom kumi na mbili (C12) ambayo ndio petroli yenyewe.

Pia wakati wa kufanya miungano tutapata na kampaundi zingine zenye kaboni tatu (C3) na kaboni nne (4) ambayo ndio LPG yenyewe hiyo gesi inayouzwa kwa kina Mihani, Oryx, Lake Gas n.k.

Ukitaka kujua zaidi unaweza kunitafuta nitakuelewesha vizuri na kukuelewesha zaidi.

Hongera engineer,una kazi au unitafte nikupe mchongo
 
Wazo zuri na linapendeza sana... Ila mabeberu watatufanyia sana fitna...
 
Wanaogopa kuua biashara zao za mafuta
 
Sasa petroli ikiingia kwenye engine si inageuzwa tena kuwa gase
ili iweze kutumika kuendesha Engine,.Sasa kuna umuhimu gani kubadili Gas kuwa Petrol?

Mi naona kama matumizi ya Gas kama fuel ni rahisi na ni direct kwa Magari kuliko kuigeuza kuwa petrol kisha petrol igeuzwe tena na Engine kuwa Gas!

Hebu niweke sawa kama uelewa wangu ni tofauti Dada Mtaalam.
Gesi inayozungumziwa mara baada ya petroli kuingia kwenye injini ni mvuke wa hiyo petroli mkuu (petrol vapour). Huo mvuke bado unakua ni petroli ile ile. Gesi asilia na mvuke wa petroli ni vitu viwili tofauti na vina sifa tofauti (flash point zake ni tofauti, ignition point zake ni tofauti, na pia autoignition point ni tofauti).
 
Kuibadili gesi asilia yetu kuwa mafuta ya petroli na dizeli kunaweza punguza gharama tunazotumia kuagiza mafuta hayo kutoka mataifa ya nje
 
Kuibadili gesi asilia yetu kuwa mafuta ya petroli na dizeli kunaweza punguza gharama tunazotumia kuagiza mafuta hayo kutoka mataifa ya nje
 
Kuibadili gesi asilia yetu kuwa mafuta ya petroli na dizeli kunaweza punguza gharama tunazotumia kuagiza mafuta hayo kutoka mataifa ya nje
 
Kuibadili gesi asilia yetu kuwa mafuta ya petroli na dizeli kunaweza punguza gharama tunazotumia kuagiza mafuta hayo kutoka mataifa ya nje
 
Siasa ya Mafuta na Gesi: Kuibadili gesi asilia kuwa mafuta ya petroli inaweza punguza gharama tunazotumia kuagiza mafuta hayo kutoka mataifa ya nje
 
Siasa ya Mafuta na Gesi: Kuibadili gesi asilia kuwa mafuta ya petroli inaweza punguza gharama tunazotumia kuagiza mafuta hayo kutoka mataifa ya nje
 
Siasa ya Mafuta na Gesi: Kuibadili gesi asilia kuwa mafuta ya petroli inaweza punguza gharama tunazotumia kuagiza mafuta hayo kutoka mataifa ya nje
 
Mzunguko wa conversion natural gas to petrol/diesel ni wa gharama . Mbadala ni kutumia gesi asilia moja kwa moja kwenye magari dizeli au petroli. Hili linawezekana bila mabadiliko makubwa kwenye engine ya diseli au petrol.
 
Acha uongo mbona Qatar wanabidilisha, inamaana ww mtanzania umewazidi akili Qatar wenye rundo la gesi duniani. Mwe mnakubali kuwa kuna vitu humwezi.
 
Read ->Economics of natural gas conversion processes

Note ->Payout time, which is the ratio of the total capital investment to cash margin (revenue less total operating expenses), is the economic indicator for the analysis. Under these conditions, the payout time for the methanol plant is seven years. The payout time for the alternative natural gas conversion technologies is generally much higher, which indicates that they currently are not candidates for commercialization without consideration of special incentives.
 
Back
Top Bottom