Siasa ya rushwa, utajili wa FEDHA na maudhui ya kutovunja misingi ya Maisha ya MTU mwingine

Siasa ya rushwa, utajili wa FEDHA na maudhui ya kutovunja misingi ya Maisha ya MTU mwingine

Bookman Oldstyle

Senior Member
Joined
Nov 3, 2019
Posts
147
Reaction score
47
Hakika kila mwanadamu anapenda kuishi MAISHA ambayo yanamipango ndani yake kuanzia level ya kuwa pekeyako. Tumeshuhudia watoa huduma wengi wakitekeleza maneno ya mwalimu Nyerere Kwa vitendo ikiwemo Ubepari, kutoa na kupoke rushwa, kuwa na vyumba vya Kipanya Kwa ajili ya kuzuia na kucontrol maisha ya watu wengine (mabwenyeye).

Hii inaashiria kuwa kuna haja ya kujikosoa na kujisahihisha ili kuweza kuendana na KASI ya dunia na kupunguza udhalilishaji usio na MAANA Kwa kuweka hatimiliki Kwa baathi ya taBIA matarani

1. Watu wanapenda utajili wa FEDHA mingi benki
Jamii unatakiwa kiwatambua ili wasiasili JAMII nyingine kama wanafanya KAZI pamoja maana ni furaha ya MTU mwingine kuwa na Hela za kawaida zilizopatikana Kwa mfumo Hali e.g wanamuziki wa Ulaya yawezekana hawana bodigurd kama Diamond. Aisha, kutokana na uwepo wa "BINTI MARINGO" ndipo chanzo cha kutengeneza Rushwa za jinsia, upendeleo, kujudge vibaya watu hivyo kupelekea manunguniko na majungu ya kufananisha machafuko kuanzia level ya familia MAANA siyo wote tunafall KWENYE kapu la watoa rushwa "Kila mmoja atatakiwa kilinda community yake" MAANA tabia hizo huwa hazifi kulingana na ukali, upole, majina ya viongozi

"Walienda rushwa waongee na wapenda rushwa"
"Mabilioner waongea na mabilioner"

2. Wafuata Sheria, Kanuni na Taratibu
Jamii yoyote IPO Kwa ajili ya kusaidia jamii nyingine iishi Kwa kuheshimiana Kwa mujibu wa miongozo tumeshuhudia mjenga utaratibu Ndiyo mvunja utaratibu mathalani kuanzishwa Kwa vyama vya Siasa na kuhakikisha kuwa havikui Kwa mifumo isiyo Halali. Ni rahisi Kutana na mwanasheria aliyekuwa watu lakini hajahukumiwa mifungo n.k ukikutana na jamii ya mtindo huu unatakiwa kutambua zipo Kwa ajili ya kuvunja miiko ya mwalimu Nyerere na IPO siku tutaipata Uhuru mwingine Kwa kupiga kelele zisizo kubarika kwenye nchi nyingine.
"Wavunja Taratibu za MAISHA waongee na wanavunja utaratibu"

 
Mfano wa BINTI MARINGO alishauwa KAZI ya waganga wa kienyeji Kwa kuonyesha namie nataka KAZI nzuri za kuuwa principles

#tag Kabla hujauwa KAZI yangu nitauwa yakwako Kwanza testimony aka USHUHUDA

 
Labda Kwa sababu "NCHI ILIYOPATA MAENDELEO FEDHA HAINA SAMANI" jamaa anamkwanja Sana atakuwa anadharau report Kwa sababu ni story "FEDHA KUINGIA KWENYE MZUNGUKO"
 
Back
Top Bottom