Hakika kila mwanadamu anapenda kuishi MAISHA ambayo yanamipango ndani yake kuanzia level ya kuwa pekeyako. Tumeshuhudia watoa huduma wengi wakitekeleza maneno ya mwalimu Nyerere Kwa vitendo ikiwemo Ubepari, kutoa na kupoke rushwa, kuwa na vyumba vya Kipanya Kwa ajili ya kuzuia na kucontrol maisha ya watu wengine (mabwenyeye).
Hii inaashiria kuwa kuna haja ya kujikosoa na kujisahihisha ili kuweza kuendana na KASI ya dunia na kupunguza udhalilishaji usio na MAANA Kwa kuweka hatimiliki Kwa baathi ya taBIA matarani
1. Watu wanapenda utajili wa FEDHA mingi benki
Jamii unatakiwa kiwatambua ili wasiasili JAMII nyingine kama wanafanya KAZI pamoja maana ni furaha ya MTU mwingine kuwa na Hela za kawaida zilizopatikana Kwa mfumo Hali e.g wanamuziki wa Ulaya yawezekana hawana bodigurd kama Diamond. Aisha, kutokana na uwepo wa "BINTI MARINGO" ndipo chanzo cha kutengeneza Rushwa za jinsia, upendeleo, kujudge vibaya watu hivyo kupelekea manunguniko na majungu ya kufananisha machafuko kuanzia level ya familia MAANA siyo wote tunafall KWENYE kapu la watoa rushwa "Kila mmoja atatakiwa kilinda community yake" MAANA tabia hizo huwa hazifi kulingana na ukali, upole, majina ya viongozi
"Walienda rushwa waongee na wapenda rushwa"
"Mabilioner waongea na mabilioner"
2. Wafuata Sheria, Kanuni na Taratibu
Jamii yoyote IPO Kwa ajili ya kusaidia jamii nyingine iishi Kwa kuheshimiana Kwa mujibu wa miongozo tumeshuhudia mjenga utaratibu Ndiyo mvunja utaratibu mathalani kuanzishwa Kwa vyama vya Siasa na kuhakikisha kuwa havikui Kwa mifumo isiyo Halali. Ni rahisi Kutana na mwanasheria aliyekuwa watu lakini hajahukumiwa mifungo n.k ukikutana na jamii ya mtindo huu unatakiwa kutambua zipo Kwa ajili ya kuvunja miiko ya mwalimu Nyerere na IPO siku tutaipata Uhuru mwingine Kwa kupiga kelele zisizo kubarika kwenye nchi nyingine.
"Wavunja Taratibu za MAISHA waongee na wanavunja utaratibu"
Tumekuwa tukishuhudia watu mbalimbali wakitumia MAISHA ya mazingira kuwafundisha watu MAISHA ya Siasa, uchumi, utamaduni, sanaa n.k Mambo makubwa yanayofanywa na Serikali ya awamu ya Tano ni ishara kubwa kuwa nyumba ya ikulu ilikuwa inanuka na maandalizi ya kufikia uchumi wa Kati Kwa...