Siasa za Kenya ni za kushangaza sana

Siasa za Kenya ni za kushangaza sana

Kwa katiba mbovu ya Kenya,
Mbunge moja nadhani ilikua March akawasilisha muswada wa Sheria wa kumbandua waziri wa kilimo kwasabb tu aliwahi kutoka na mke wake huko nyuma 🤣
Ndio mtumishi wa umma hutakiwi kusemwa semwa
vibaya umesahau hotuba ya Mwalimu JK kuhusu yule waziri

wa Uingereza huku kwetu ndio tuna fichiana fichiana tu
 
Inanihusu nini mambo ya maisha yao binafsi hayanihusu
Hoja yako ya kwanza umesema chadema haina wasomi na mimi nikakuuliza swali ccm kuwa na wasomi wengi kumesaidia nini nchi maskini Tanzania

unahamisha magoli kwa kuniambia utajiri wa familia ya mbowe na sugu
Mada inahusu chadema kutokua na wasomi na ccm kuwa na wasomi wengi
Mangi acha hizo ,hakunaga nchi haina changamoto ,nadhani umetembea nchi nyingi tu hapa dunia mkuu,hivi unadhani Lema angereje hapa nchini kama maisha kule CANADA ni marahisi hivyo?huona anapigana ili apate mlo hapa hapa nchini?narudi tena na tena mkuu acha kulalamika pigania maisha yako.
Hivi unahitaji shahada kuelewa kuwa chadema iliyokuwa na wasomi kama Baregu ,Marando ni tofauti na hii chadema ambayo inaongozwa na maimuna?
 
Ndio mtumishi wa umma hutakiwi kusemwa semwa
vibaya umesahau hotuba ya Mwalimu JK kuhusu yule waziri

wa Uingereza huku kwetu ndio tunafichiana fichiana tu
Mambo binafsi malizaneni huko uchochoroni mlikofumaniana, umma hauhusiki kwenye ufuska wako šŸ’

hata hivyo,
wakati wa vetting ya mahojiano bungeni mbona hukutoa povušŸ’
 
Mangi acha hizo ,hakunaga nchi haina changamoto ,nadhani umetembea nchi nyingi tu hapa dunia mkuu,hivi unadhani Lema angereje hapa nchini kama maisha kule CANADA ni marahisi hivyo?huona anapigana ili apate mlo hapa hapa nchini?narudi tena na tena mkuu acha kulalamika pigania maisha yako.
Hivi unahitaji shahada kuelewa kuwa chadema iliyokuwa na wasomi kama Baregu ,Marando ni tofauti na hii chadema ambayo inaongozwa na maimuna?
Kwa hiyo hatima ya maisha yako ipo mikononi mwako sio Mangi

Kwa hiyo haikuweza ku recruit wasomi wengine au?
 
hahaa haaa. Alikaa kimya sio.
 
Sio Kenya tu Siasa za duniani kote sasa hivi ni za kitapeli tapeli tu na watu kulamba asali wakati wananchi hata umande wa kulamba hawana
 
Siasa haiminiki dini nayo siku hizi imekuwa na majabu mengi

wapi pakuaminika sasa?
 
Nguvu gani hiyo kiongozi?
kwamba jitihada na uelekeo wa Taifa ni moja na unaeleweka ndani na nje ya serikali kwa wananchi.

Sasa wewe kwa ulevi wa vyeo na madaraka, una hujuma jitihada hizo za Taifa tena kwa kiburi na jeuri ya wazi wazi kabisaa mbele za vyombo vya habari šŸ’
 
Mangi acha hizo ,hakunaga nchi haina changamoto ,nadhani umetembea nchi nyingi tu hapa dunia mkuu,hivi unadhani Lema angereje hapa nchini kama maisha kule CANADA ni marahisi hivyo?huona anapigana ili apate mlo hapa hapa nchini?narudi tena na tena mkuu acha kulalamika pigania maisha yako.
Hivi unahitaji shahada kuelewa kuwa chadema iliyokuwa na wasomi kama Baregu ,Marando ni tofauti na hii chadema ambayo inaongozwa na maimuna?
Umehamisha tena magoli
Umesema chadema hakina wasomi kwa hiyo hakiwezi fanya chochote tena kwa msisitizo tumekukubalia kwamba chadema wanaongozwa na maimuna

Swali ccm na kuwa na wasomi wote mbona bado nchi ni maskini baada ya miaka 60+ ya uhuru kumbuka tokea uhuru wanoongoza nchi ni ccm chadema hawajawahi
 
kwamba jitihada na uelekeo wa Taifa ni moja na unaeleweka ndani na nje ya serikali kwa wananchi.

Sasa wewe kwa ulevi wa vyeo na madaraka, una hujuma jitihada hizo za Taifa tena kwa kiburi na jeuri ya wazi wazi kabisaa mbele za vyombo vya habari šŸ’
Lakini lazima watu wawe na mtizamo tofauti, hatuwezi kufikia sawa

Ni mambo yakuambizana na kuwekana sawa. Kuliko kumfunga mtu mdomo
asitoe mawazo yake.
 
Siasa za Kenya kuna wakati zina shangaza sana sasa sijui ni kusalitiana au vipi?

Bunge la Kenya linataka kumkong'oa Naibu wa Rais wa Kenya Rigadhi Gachagua.

Naibu Rais huyo wa Kenya anakabiliwa na tuhuma za kuendeleza ukabila kwa watu wa mlima Kenya pia kutokuelewana na Raisi William Ruto.

Wanaeleza kuwa ni mara kadhaa naibu wa Rais Gachagua hajahudhuria hafla za Rais Ruto.

Siku za hivi karibuni pia Naibu Rais huyo alilalamika kuondolewa kwenye kundi la whatsapp la Raisi Ruto.

Gachagua na wandani wake wamelalamika kuwa pengine washauri wa Rais Ruto wanamshauri vibaya awadharua watu wa mlima Kenya ilihali wao ndio walimpigia kura nyingi.

Nini kinakushangaza kwenye Siasa za Kenya ?
Achana na siasa za Kenya, za kwenu Tz hazishangazi? Kweli nyani haoni kundule!!
 
Lakini lazima watu wawe na mtizamo tofauti, hatuwezi kufikia sawa

Ni mambo yakuambizana na kuwekana sawa. Kuliko kumfunga mtu mdomo
asitoe mawazo yake.
uko sahihi kabisaa gentleman,

kua na mawazo na mtazamo tofauti na WA mwingine ni uhuru na haki ya kila mTanzania, na ndio maana wale wenye mitazamo tofauti na ule wa serikali, wako nje ya serikali na wana najina yao kabisaa šŸ’

Angalia hata maandamano ya chadema yaliyofeli juzi ni kwasababu ya mawazo tofauti ndani ya chama chao. Alie tofauti na mawazo na mtazamo wa chama hicho alifaa afukuzwe mara moja.

Mnawezaje kujenga nyumba moja ikiwa kila moja kashikilia fito zake na ramani yake, badala mzikusanye pamoja na muwe na uelekeo moja šŸ’
 
Umehamisha tena magoli
Umesema chadema hakina wasomi kwa hiyo hakiwezi fanya chochote tena kwa msisitizo tumekukubalia kwamba chadema wanaongozwa na maimuna

Swali ccm na kuwa na wasomi wote mbona bado nchi ni maskini baada ya miaka 60+ ya uhuru kumbuka tokea uhuru wanoongoza nchi ni ccm chadema hawajawahi
Ila kweli tunategemea mwenye elimu alete matokeo chanya na
makubwa.
 
uko sahihi kabisaa gentleman,

kua na mawazo na mtazamo tofauti na WA mwingine ni uhuru na haki ya kila mTanzania, na ndio maana wale wenye mitazamo tofauti na ule wa serikali, wako nje ya serikali na wana najina yao kabisaa šŸ’

Angalia hata maandamano ya chadema yaliyofeli juzi ni kwasababu ya mawazo tofauti ndani ya chama chao. Alie tofauti na mawazo na mtazamo wa chama hicho alifaa afukuzwe mara moja.

Mnawezaje kujenga nyumba moja ikiwa kila moja kashikilia fito zake na ramani yake, badala mzikusanye pamoja na muwe na uelekeo moja šŸ’
Ni kweli mnapo tofautiana inatakiwa ifikie sehemu mchague wazo

lililo bora zaidi mlifanyie kazi wote.
 
Siasa za Kenya kuna wakati zina shangaza sana sasa sijui ni kusalitiana au vipi?

Bunge la Kenya linataka kumkong'oa Naibu wa Rais wa Kenya Rigadhi Gachagua.

Naibu Rais huyo wa Kenya anakabiliwa na tuhuma za kuendeleza ukabila kwa watu wa mlima Kenya pia kutokuelewana na Raisi William Ruto.

Wanaeleza kuwa ni mara kadhaa naibu wa Rais Gachagua hajahudhuria hafla za Rais Ruto.

Siku za hivi karibuni pia Naibu Rais huyo alilalamika kuondolewa kwenye kundi la whatsapp la Raisi Ruto.

Gachagua na wandani wake wamelalamika kuwa pengine washauri wa Rais Ruto wanamshauri vibaya awadharua watu wa mlima Kenya ilihali wao ndio walimpigia kura nyingi.

Nini kinakushangaza kwenye Siasa za Kenya ?
Ya Ngoswe mwachie.........?
 
Ni kweli mnapo tofautiana inatakiwa ifikie sehemu mchague wazo

lililo bora zaidi mlifanyie kazi wote.
kusukuma agenda ya maendeleo ni kama vita tu...

sasa kanuni ya vita, maana yake lazima muwe kitu kimoja, dhamira moja, wazo moja, mpango wa pamoja, na uelekeo moja. Akitokea msaliti katikati ya mapambano, basi anyofolewe mara moja na wengine msonge mbele kwa uhakika zaidi wa kushinda vita:pulpTRAVOLTA:
 
Kwa hiyo hatima ya maisha yako ipo mikononi mwako sio Mangi

Kwa hiyo haikuweza ku recruit wasomi wengine au?
Kabisa Mangi ,usipofanya kazi ukitegemea uletewe ni kwisha habari yako . CDM sio kwamba imeshindwa recruit wasomi bali Kamanda kama Lema anawezaje kuamini kuwa hana uwezo wa kupanga mikakati? Kwenye mitandao anaridhika na hali kuitwa Mwamba wa siasa za kaskazini ,sifa ambayo ni ya kijanga kabisa.
 
Ruto aliweza kumu outsmart kwa kuachana na uchura kiziwi ikabidi awasikilize Gen Z, na matokeo yake ndiyo tunaona.
Hapana, alijisalimisha kwa BABA na ndio maana gachagua akawa hana lake. Hata kipindi cha Uhuru kenyatta, alipochokwa na wakenya ikabidi amuangukie BABA na hivyo Ruto naye akapoteza umuhimu na ikazaa mgogoro na Kenyatta hadi leo.
 
Back
Top Bottom