Siasa za Kijungu Jiko, Penye Uzia, Penyeza Rupia!. Hakuna Mkate Mgumu Mbele ya Chai!, Hata Uwe Mgumu Vipi, Mbele ya Chai/Rupia, Lazima Utalainika!

Sasa huoni mnaharibu chama knapasuka,kuna wale wenye msimamo wa chama na kuna nyie wenye njaa.
Magufuri aliwaona hawa watu hawana faida kwa taifa wapo tu kama kupe.
Na yeye alikuwa na faida akenda ficha fedha za nchi China na kujenga mabanda mabanda kwao.
 
Ngoja tuendelee kunywa asali kwanza, tukitosheka ndo tutashughulikia changamoto za raia. Hata hivyo uchumi wetu uko vzr sana na unazidi kuimarika kila siku.
 
Paskali hiyo taarifa unayodai kuipata toka twitter ni ya kipuuzi sana, sio credible source.

Hivi nami na hii fake Id yangu nikienda twitter sasa hivi niseme Samia anaachia kiti ikulu kesho, utaniamini kizembe tu?

Hebu punguza ukada wako.
Naona kaingia Choo cha akina Mdee.
 
Udhia si uzia.
 
Salute bwashee
 
Tuupe muda wakati wengi walitarajia mama angekuwa HG kwenye kongamano la UWT.. Bahati mbaya sana hii jumuiya ilishajifia sasa kimewauma wengi wasioipenda CHADEMA kuona mama anaenda kuwa HG
Huko kila siku anafanya nao vikao. Wala hakuna issue sana

Mdee kawapiga knockout,
 
umesema kweli kabisa na sasa wanawasamehe wale covid 19 kwani mama kawasamehe kedi nyingi na wao vipi wasisamehe?
pia ruzuku wanalamba,na usishangae wakaunda umoja na ccm au mbowe akarudi ccm,lissu akaenda act na wale wehu wenhine kama yule mpumbavu wa tarime heche ataishia kubwabwaja tu,hivi kweli mbowe atamfukuza ester matiku wakati ni mzazi mwenzie na salum mwalimu?
 
Hivi mtoa mada unafikiri humu ndani hakuna wafanyakazi wa halmashauri ambao wengi walisimamia kazi za NEC?
Au unafikiri hatuna ndugu kwenye tume ya uchaguzi.. Na baada ya uchaguzi hatuongei yaliyotokea?

Sasa najua muda ni mchache wa Katiba mpya... Basi fanyeni mabadiliko kuwe na Tume huru uone in real life gap za kura katika maeneo uliyoyataja...

Kwa ufupi Spika Tulia anatafutiwa jimbo sehemu nyingine ya kugombea.. Huyo Gambo kwa sasa anatoka jasho... Anajua
 
Nimekuelewa SANA
 
Kupokea Ruzuku hamaanisjinkwamba wamekubali matokeo. Hata huko nyuma Chadema hawakukubaliana na matokeo ya uchaguzi pamoja na 2010 na 2015. Kwa hiyo mimi naona ni strategy tu kwa vile wizi wa 2020 ulipitiziza na hauna mfano.
 
Kijungu jiko na wewe ukalia sana kupata walau uDC ukapuuzwa.

Siasa za kijungu Jiko ukafagilia maridhiano Zanzibar ya chadema ukaufyata umejifungia kuzodoa....

Deal with the fact that your enemy is on it again.
Mwandishi wa kinabii wa kizazi hiki. Siku zote huwa siacha kusoma hata sentensi moja ya chapisho lako.
 
Bwana Pascal naona sasa tumefanikisha tulilokuwa tunaliona kwa jicho la mbali,ww ni mtu makini sana na unaona mbali sana,wanaokupinga basi waache wakupinge ila ukweli wameupata na umeweka na ushaid kwenye uzi huu.
kafanikisha nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…