Siasa za kufurahishana Wanasiasa na kuwasahau wananchi

Hayo ndio majibu yenu baada kupewa uhuru wa kutoa maoni?
Nchi wananchi wake wanofurahia demokrasia inayonufaisha wachache na kuwaacha wengi wakipiga kelele huku haina VISION yeyote! Kiongozi huwa ni mbeba MAONO!
Waache wafurahie kutoa maoni wanafikiri mdomo utaleta umeme na chakula majumbani mwao!
 
Hayo umeachiwa wewe uyazungumze.
Wao wanafanya nini wakati wanapata ruzuku kutoka serikalini ambazo ni kodi za wananchi,huyo unayesema kaachiwa ayazungumzie sio kazi yake.ebu kuwacl serious kwenye mambo muhimu ya nchi acha ushabiki wa simba na yanga hii ni nchi sio klabu ya mpira.
 
Hakuna anayezungumzia maendeleo na kero za wananchi, Hakuna miradi & mikakati mikubwa ya maendeleo kama SGR, JNHPP n.k ÀTCL ndiyo inaenda kufa wenyewe wamebaki kufurahishana na kupongezana
Kwanini Heche asitoke ili wenye mlengo wake waanzishe Chama madhubuti na sio hii takataka iliyoanza kuoza.
 
Upinzani ulipaza sauti sana, uliwatetea watanzania sana, upinzani uliumizwa sana, kuzalilishwa sana na wakati wote huo hatukutaka kuwaunga mkono. Sasa leo unataka nani akusemehe? Mimi naona kila mtu apambane na hali yake
 
Anzisha chama chako, acha kuwa poyoyo.
 
Shida za Wananchi ndio mtaji na chakula cha wanasiasa.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Uhuru wa kutoa maoni upo kwenye katiba haupwei tu na mtu, labda dhulumati ndio anaweza kuamua kutouheshimu.
Ila huu uhuru wa maoni uliyopo itakuwa wa kupewa inaonekana una masharti yake.
 
CCM MBELE KWA MBELE
 
Upinzani ulipaza sauti sana, uliwatetea watanzania sana, upinzani uliumizwa sana, kuzalilishwa sana na wakati wote huo hatukutaka kuwaunga mkono. Sasa leo unataka nani akusemehe? Mimi naona kila mtu apambane na hali yake
Sasa hao upinzani wanafanya nini sasa hivi kama hawatetei wananchi?
 
CCM MBELE KWA MBELE mliipenda wenyewe mkalinda upumbavu mkasahau kuwa duniani tunapita ccm mbele kwa mbele.
 
Nchi wananchi wake wanofurahia demokrasia inayonufaisha wachache na kuwaacha wengi wakipiga kelele huku haina VISION yeyote! Kiongozi huwa ni mbeba MAONO!
Waache wafurahie kutoa maoni wanafikiri mdomo utaleta umeme na chakula majumbani mwao

Upinzani ulipaza sauti sana, uliwatetea watanzania sana, upinzani uliumizwa sana, kuzalilishwa sana na wakati wote huo hatukutaka kuwaunga mkono. Sasa leo unataka nani akusemehe? Mimi naona kila mtu apambane na hali yake
Ukweli ndiyo huo kila mtu apambane kivyake maana kuna baadhi ya watu wanaishi na maono ya watu wengine wakifikiri watatawala milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…