Siasa za kufurahishana Wanasiasa na kuwasahau wananchi

Siasa za kufurahishana Wanasiasa na kuwasahau wananchi

Hayo ndio majibu yenu baada kupewa uhuru wa kutoa maoni?
Nchi wananchi wake wanofurahia demokrasia inayonufaisha wachache na kuwaacha wengi wakipiga kelele huku haina VISION yeyote! Kiongozi huwa ni mbeba MAONO!
Waache wafurahie kutoa maoni wanafikiri mdomo utaleta umeme na chakula majumbani mwao!
 
Hayo umeachiwa wewe uyazungumze.
Wao wanafanya nini wakati wanapata ruzuku kutoka serikalini ambazo ni kodi za wananchi,huyo unayesema kaachiwa ayazungumzie sio kazi yake.ebu kuwacl serious kwenye mambo muhimu ya nchi acha ushabiki wa simba na yanga hii ni nchi sio klabu ya mpira.
 
Hakuna anayezungumzia maendeleo na kero za wananchi, Hakuna miradi & mikakati mikubwa ya maendeleo kama SGR, JNHPP n.k ÀTCL ndiyo inaenda kufa wenyewe wamebaki kufurahishana na kupongezana
Kwanini Heche asitoke ili wenye mlengo wake waanzishe Chama madhubuti na sio hii takataka iliyoanza kuoza.
 
Upinzani ulipaza sauti sana, uliwatetea watanzania sana, upinzani uliumizwa sana, kuzalilishwa sana na wakati wote huo hatukutaka kuwaunga mkono. Sasa leo unataka nani akusemehe? Mimi naona kila mtu apambane na hali yake
 
Anzisha chama chako, acha kuwa poyoyo.
Wewe ungemwelewa mtoa mada usingekurupuka kurusha matusi!
Upumbavu wa watanzania ikiwemo wewe ndio unaotusumbua!

Tunakalia siasa uchwara hatuna hata mkakati wa maendeleo!
Serkali ya sasa hata vision hamna ukiangalia vizuri hawana ndoto wala ngoja liende!

Kujificha kwenye kichaka cha maridhiano uchwara huku wananchi shida na kero ziko palepele!

Miradi mingi ya kawaida mtaani iko imesimama hata wewe angalia umeona barabara za mitaa mji unaokaa zikijengwa? licha ya mikopo kibao kuchukuliwa!

Mtu mweusi huwa hajui anachotaka tunaishi tu kama nchi ya wendawazimu tukijificha kwenye demokrasia uchwara ya kutafuta ulaji na familia!
 
Salam wakuu,

Bila kupoteza muda huu ndiyo uhalisia wa hali ya siasa nchini kwa sasa.Wanasiasa wako busy kufurahishana na kulambishana asali huku wakipongezana kwa kauli ya "MARIDHIANO" huku wakisahau wananchi wanagongwa 800k wanapounganisha umeme, wanasahau wananchi wengi wanataabika kwa huduma za maji, umeme,afya ma miundombinu mibovu.

Lakini ukitazama wanasiasa wakiongozwa na mlamba asali mkuu utadhani Tanzania sasa ni nchi iliyoendelea [emoji3] Kumbe tuna miaka 60 ya uhuru na bado kuna watoto wanaketi chini kumsikiliza mwalimu!

Na wala hakuna anayelozungumzia swala hilo, Wote wapo busy na asali asali asali maridhiano maridhiano, pongezi, pongezi, semina, mialiko [emoji3] Inshort kufurahishana wao kwa wao wasaka madaraka kuangalia nafasi za ulaji huku wananchi hususan wa chini wakikosa msemaji! sasa sijui wanadhani watanzania wote ni wasakateuzi!?
Shida za Wananchi ndio mtaji na chakula cha wanasiasa.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Uhuru wa kutoa maoni upo kwenye katiba haupwei tu na mtu, labda dhulumati ndio anaweza kuamua kutouheshimu.
Ila huu uhuru wa maoni uliyopo itakuwa wa kupewa inaonekana una masharti yake.
 
Wewe ungemwelewa mtoa mada usingekurupuka kurusha matusi!
Upumbavu wa watanzania ikiwemo wewe ndio unaotusumbua!

Tunakalia siasa uchwara hatuna hata mkakati wa maendeleo!
Serkali ya sasa hata vision hamna ukiangalia vizuri hawana ndoto wala ngoja liende!

Kujificha kwenye kichaka cha maridhiano uchwara huku wananchi shida na kero ziko palepele!

Miradi mingi ya kawaida mtaani iko imesimama hata wewe angalia umeona barabara za mitaa mji unaokaa zikijengwa? licha ya mikopo kibao kuchukuliwa!

Mtu mweusi huwa hajui anachotaka tunaishi tu kama nchi ya wendawazimu tukijificha kwenye demokrasia uchwara ya kutafuta ulaji na familia!
CCM MBELE KWA MBELE
 
Upinzani ulipaza sauti sana, uliwatetea watanzania sana, upinzani uliumizwa sana, kuzalilishwa sana na wakati wote huo hatukutaka kuwaunga mkono. Sasa leo unataka nani akusemehe? Mimi naona kila mtu apambane na hali yake
Sasa hao upinzani wanafanya nini sasa hivi kama hawatetei wananchi?
 
Huyo ni miongoni wa wananchi wajinga na wapumbavu!
Anafikiri maendeleo ni lele mama kama huyu Bibi yao anavyowadanganya!

Wakisafiri nje ya nchi wanarudi na kutukana wananchi eti ni masikini wakidhani nchi hizo zilifika hapo kijingakijinga tu!

Dikteta huyupo ukiwauliza sasa nchi imepata utajiri na maendeleo tokea huyu wa sasa kaingia!?

Hawana majibu ni ujinga na upumbavu tu watakujibu mara kuzuia uhuru wa kutoa maoni?

Kwa kifupi saizi ndio tuko kwenye kipindi kigumu na tumerudi nyuma kwenye spirit ya kupambana na kujikwamua kama taifa!
Ukitaka kulijua hilo angalia mikopo na kinachofanyika huku wakijinasibu kukusanya takribani trillioni 2 kwa mwezi! Data feck zisizo za kawaida!

Mfano hata ujenzi tu wa miundombinu ukitoa hii mikubwa ambayo ulikuwa imeshaanza hakuna miradi mipya ya ujenzi wa barabara hasa za mitaa!

Hakuna ubunifu kwa viongozi wanaogopa kutumbuliwa wote wamebaki kuimba kwaya ya anaupiva mwingi!

Wakurugenzi wa mashirika ya kiserkali wanaendesha seminar uchwara na matamasha kila leo!

No hope no role model! HAKUNA MTU ICON ANAYEBEBA SPRIT NA MAONO YA TAIFA KWENDA MBELE! Tubakini kufarijiana na kudanganyana huku tukiukana ukweli!
CCM MBELE KWA MBELE mliipenda wenyewe mkalinda upumbavu mkasahau kuwa duniani tunapita ccm mbele kwa mbele.
 
Nchi wananchi wake wanofurahia demokrasia inayonufaisha wachache na kuwaacha wengi wakipiga kelele huku haina VISION yeyote! Kiongozi huwa ni mbeba MAONO!
Waache wafurahie kutoa maoni wanafikiri mdomo utaleta umeme na chakula majumbani mwao

Upinzani ulipaza sauti sana, uliwatetea watanzania sana, upinzani uliumizwa sana, kuzalilishwa sana na wakati wote huo hatukutaka kuwaunga mkono. Sasa leo unataka nani akusemehe? Mimi naona kila mtu apambane na hali yake
Ukweli ndiyo huo kila mtu apambane kivyake maana kuna baadhi ya watu wanaishi na maono ya watu wengine wakifikiri watatawala milele.
 
Back
Top Bottom