Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Mzanzibar aliyekufa mwaka 2005 alafu akafufuka leo mwaka 2025 atashangaa sana kwa hiki anachokiona leo Zanzibar hakuna tena wapinzani wakina jusa, juma duni wamekuwa hawana makali tena wamenyamazishwa sauti mbadala imenyamazishwa
Leo hii Zanzibar hakuna tena siasa za upinzani kwa lugha nyingine wapinzani wamefika bei na wamenunuliwa
Hasara za kutokuwa na siasa za upinzani ni kubwa sana
Tanzania ni kama tunataka kuelekea huko kwenye siasa za maridhiano ambazo nyuma yake hazina nia nzuri zinawafanya wapinzani wananunuliwa na wanakosa yale makali yao
Leo hii Zanzibar hakuna tena siasa za upinzani kwa lugha nyingine wapinzani wamefika bei na wamenunuliwa
Hasara za kutokuwa na siasa za upinzani ni kubwa sana
- Kunaifanya serikali iliyoko madarakani kuwa kwenye comfort zone kubwa sana
- Huwezi sikia serikali ikiwajibishwa ambayo ndo chachu ya maendeleo
- Wananchi wanakuwa hawajui kipi kizuri au kibaya
Tanzania ni kama tunataka kuelekea huko kwenye siasa za maridhiano ambazo nyuma yake hazina nia nzuri zinawafanya wapinzani wananunuliwa na wanakosa yale makali yao