Siasa za Muhindi na maendeleo ya Afrika? Tujiendeleze kikwetu kwetu

Elewa Sheria

Member
Joined
Apr 18, 2021
Posts
22
Reaction score
10
Wazee wa Kwa nini unazani Kwa nini Iddi Amini Dada aliamuru kufukuzwa Kwa wahindi nchini Uganda!? Aliona nini!? Je hizo sababu hazipo Tanzania? Kwenye uongozi wake alipewa sifa duniani. Wahindi Wahindi Wahindi yawezekana mnapenda Sana kutafsiriwa... Wazee wa kutekeleza story mpo.

​

Zilikuwa SIFA za rais tunavyokwenda Muhindi hatakiwi kuandika kitabu cha Kiswahili tutachoshana. Kama kuua KISWAHILI..
 
Tatizo la Madikteta wengi wametokea familia maskini! Hivyo huwa na tabia za kuwachukia matajiri, na hasa hao Wahindi na Matajiri wengine Wafanyabiashara.

Angalia kuanzia Adolph Hitler, Idd Amin, Muammar Gaddaf, na huyu nani huyu aliyefariki hapa juzi kati, nk.
 
Angalia kuanzia Adolph Hitler, Idd Amin, Muammar Gaddaf, huyu nani huyu aliyefariki hapa juzi kati, nk.
Kuteta utakiwa fursa😄😄😄😄 KAZI hiyo nitaitafuta

Adolf alikuwa mjinga aliwajengesha wasomi hahah😄😄😄
 
Tatizo la Madikteta wengi wametokea familia maskini! Hivyo huwa na tabia za kuwachukia matajiri, na hasa hao Wahindi na Matajiri wengine Wafanyabiashara.

Angalia kuanzia Adolph Hitler, Idd Amin, Muammar Gaddaf, na huyu nani huyu aliyefariki hapa juzi kati, nk.
Kuteta utakiwa fursa😄😄😄😄 KAZI hiyo nitaitafuta

Adolf alikuwa mjinga aliwajengesha wasomi hahah😄😄😄
 
Tatizo la Madikteta wengi wametokea familia maskini! Hivyo huwa na tabia za kuwachukia matajiri, na hasa hao Wahindi na Matajiri wengine Wafanyabiashara.

Angalia kuanzia Adolph Hitler, Idd Amin, Muammar Gaddaf, na huyu nani huyu aliyefariki hapa juzi kati, nk.
Kama unadhani Mie muongo saizi tutaweka tunaandaa tofari na Mbao kama malighafi😄😄😄

Jamaa akae na interest ya Mradi asiaribu kazi
 
Wenye Mwanya hao yawezekana wamechagua wa kuuwa

Labda uwe yesu mwenyewe na Sura yako
Ujue hakuna weledi kwenye hii dunia..

Wala KAZI

Tatizo la Madikteta wengi wametokea familia maskini! Hivyo huwa na tabia za kuwachukia matajiri, na hasa hao Wahindi na Matajiri wengine Wafanyabiashara.

Angalia kuanzia Adolph Hitler, Idd Amin, Muammar Gaddaf, na huyu nani huyu aliyefariki hapa juzi kati, nk.
Kweli kiongozi yoyote akitokea sehemu maskini sijui kwanini lazima awachukie matajiri?
 
Back
Top Bottom