stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 259
- 483
Binafsi nina imani na tume ya uchaguzi,nina imani na mahakama,nina imani na serikali, nina imani na uongozi huu wa Mh Samia suluhu Hassani .
Nimeshuhudia maboresho mengi ya mifumo sasa Tanzania iko shwari.
Hapa sasa nimeamini ule msemo wa mabadiliko mtayapata ndani ya CCM .
Naimani 2025 Mama samia anapita tena.
Asanteeeei maoni yangu yaheshimiwe.