Siasa za Tanzania: Ukabila na Ukanda sasa rasmi, mwanzo wa kuanguka umoja wa Kitaifa-Uchaguzi wa CCM umedhihirisha!

Nini chimbuko la hiki ulichoandika hapa?
Chimbuko lake ni mada yenyewe na mtazamo potofu wa mleta mada.

Maana kuna msemo unasema mjinga usishindane naye, bali mpe cha kijinga alichokitarajia.
 
Karma !!
 
Nchi hii mafisadi ndiyo yanatoa kiongozi na siyo wananchi
 
Kwani JPM alikuwa amejizatiti kama Lowasa? JPM hakua na nguvu wala mtandao, na ndio kilichombeba
JPM alipojifanya chama ni mali yake na kuwageuka waliomuweka ni nini kilichomkuta? Yupo wapi huyo JPM kwa sasa?
 
kwenye uchaguzi wa umoja wa vijana wa CCM kelele za udini zikaibuka,lakini uchaguzi wa NEC kelele za udini atuzisikii.uzi mwingine huu unalalmikia ukanda na ukabila,shida ni nyinyi watu wa siasa au mifumo?
 
Kwani JPM alikuwa amejizatiti kama Lowasa? JPM hakua na nguvu wala mtandao, na ndio kilichombeba
JPM alipojifanya chama ni mali yake na kuwageuka waliomuweka ni nini kilichomkuta? Yupo wapi huyo JPM kwa sasa?
Kwahiyo chama ni mali ya kiwete? Kilichomkuta JPM kitamkuta na huyo kiwete na alipo JPM ndipo anapoenda na huyo kiwete
 
tatizo mnapoeleza mambo haya mnajifanya kuyaeleza kwa hekima/woga bila kupasua kwa kusema ukweli na kutaja nini hasa kimetokea. Mwishowe inaonekana ni nyongo tu baada ya kushindwa ktk uchaguzi...... pasua jibu ili mpone..
 
Watanzania hatuna chochote cha kujivunia zaidi ya umoja wa kitaifa (hilo ndio lilikuwa likitutenganisha na mataifa mengine...

Wapuuzi wachache wanataka kutuondolea na hilo.... Kwangu mimi mtu yoyote anayeendekeza Udini, Umimi, Usisi ni wa kuonea huruma sababu amefirisika ki-fikra...
 
Mkuu, umoja kama ulivyoshamiri chini ya Mwalimu, hujengwa.
Hauji kwa bahati bahati tu!
 
Si mna chama chenu ,CCM inawahusu nini?
 
Chimbuko lake ni mada yenyewe na mtazamo potofu wa mleta mada.

Maana kuna msemo unasema mjinga usishindane naye, bali mpe cha kijinga alichokitarajia.
Kwa mtazamo wangu, mleta mada hana mtazamo potofu, na hata wazo lako uliloandika pale juu halikuwa la kijinga kama unavyofikiri, usijifunge ubongo wako kwa kudhani ulichoandika hakina maana..

Unaweza kufikiria kwa kuanzia pale ulipoandika, au ngoja mimi nikupe hint kidogo..

Huoni sababu ya kihistoria inaweza kuwa chimbuko la siasa zetu kuonekana zimetawaliwa/ongozwa na ukanda wa Pwani?

Vile Nyerere alitoka Bara, akaja Pwani kuungana na wazee wa huku kwenye harakati za kupigania uhuru mpaka ulipopatikana, na vile tujuavyo, ukanda wa Pwani umetawaliwa na watu gani? huoni hili linaweza kuwa chimbuko la dhana ya ukabila na ukanda aliloanzisha mleta mada?
 
Chimbuko lake ni mada yenyewe na mtazamo potofu wa mleta mada.

Maana kuna msemo unasema mjinga usishindane naye, bali mpe cha kijinga alichokitarajia.
Ujinga mkubwa zaidi ni kutoelewa wala kuwa na uwezo wa kupambanua kile kinachoongelewa.
 
Matokeo ya NEC ccm yañaakisi kuhodhi nguvu iliopo na influence yake ndani ya serikali

Wenye nchi wanaepusha wanaohisi wananguvu wasijione wenye mamlaka ya kuamua Tanzania ya kesho hivyo wanawapa wapinzani wao kwanza Ili baadae warudishe nguvu kwa jamhuri kupitia kabila dogo kama zamani ilivyokuwa,ukanda unaouona unalengo la kuondoa mizizi ya wanaohisi chama na nchi ni yao hivyo kuwadhibiti mapema!
 
Asante mkuu.
Kuna watu wanajidai hawalioni hilo tatixo alimradi wanafaidika kwa wingi wao.

CCM isipokuwa makini ,itajitengenezea matatizo ambayo hitaweza kuyatatua siku za usoni.
Ukabila, Ukanda ni lazima vitaimaliza CCM.
Kama ukabila na ukanda ndiyo utaiua CCM basi wote tuunge mkono ukabila na ukanda .
 
Apartheid ni separate needs of development.....among people of different races/needs etc.
Aoartheid , the core sin of development denial based on discrimination and racism.
Tusikipake asali kidonge cha sumu ya ubaguzi unaotunyemelea.
 
WWaWakimaliza kula watu wote kijijini wataanza kulana wao kwa wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…