Chimbuko lake ni mada yenyewe na mtazamo potofu wa mleta mada.Nini chimbuko la hiki ulichoandika hapa?
Maana kuna msemo unasema mjinga usishindane naye, bali mpe cha kijinga alichokitarajia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chimbuko lake ni mada yenyewe na mtazamo potofu wa mleta mada.Nini chimbuko la hiki ulichoandika hapa?
Basi muishi kwa kutuliia. Hizi perepeche za kanda ya ziwa sijui imepata kura nyingi za NEC hazina tija kwa taifa.Hakuna shida madam life linasonga , we ulitakaje
Karma !!Sisi tulio makabila madogo na tulio pembezoni, tulionya sana katika miaka y karibuni juu ya kujitokeza vashiri vya Ukanda, Udini na Ukabila katika siasa za nchi.
Sasa zimeanza kujitokeza dhahiri na kwa kila mtu kujionea kwa macho yake yanayoendelea nchini.
Kama kuna kielelezo kinajitokeza ili kila mtu akione ni uchaguzi wa CCM kwa kuwania viti vya NEC.
Kwa princile ya wengi wape basi nchi hii itatawaliwa na watu toka pande fulani tu za nchi.
Tunajua mambo haya kuanzia uchaguzi huu, tulianza na "Mitandao" Awamu ya Tatu na NNe, na Awamu ya Tano ndio ikawa funga kazi, Mwenyekiti wa CCM aliyekuwepo na Rais vile vile alipendelea wazi wazi "wale waliomchagua".
Kama tulikuwa tunaisikia tu Apartheid kwa makaburu -yaani maendeleo ni kwa majimbo fulani tu, sasa laana hii ipo nchini.
The writing is on the walll, umoja wa kitaifa umeanza kupata nyufa.View attachment 2448450
Nchi hii mafisadi ndiyo yanatoa kiongozi na siyo wananchiHao wanojisifu wapo wengi, watashangaa, wanaoamua Rais wa Tanzania awe nani ni kamati kuu ya CCM chini ya Rais na wazee kama Kikwete, wao ndio wanaoamua wakate jina la nani waache jina la nani
Lowassa alinunua 80% ya wajumbe wote, lakini kamati kuu ikamchinjia mbali
Nyie mnaojisifia mpo wengi tumieni wingi wenu kupata katiba mpya itakayowapa nguvu wananchi kuchagua kiongozi wanayemtaka, hapo ndio mtaweza kutumia huo wingi wenu kuwa kura, ama nchi itakuwa chini ya Familia chache tu
Huzi ni ngano na Hadithi za Abunuasi. Haya hutokea nchi za watu walioamka siyo kwa hizi maiti za Tanzania tena kanda ile ya washambaMambo yakiwa ni ya kikabila, tegemea mkono utatembea vizuri tu hukohuko kwenye nec
Kwani JPM alikuwa amejizatiti kama Lowasa? JPM hakua na nguvu wala mtandao, na ndio kilichombebaWewe na huyo kiwete wako ndio mtakaoshangaa. Nyie mmekua kina nani mtuamulie waTanzania mtu wa kutuongoza?
Wakati jina la Maembe binamu yake huyo kiwete linakatwa 2015 mpaka rais anakua JPM huyo kiwete alikua hajaanza hizo shughuli za kuamua nani anakua rais Tz? Nyie subirini tu tunawaangalia tunachekea pembeni
Kwahiyo chama ni mali ya kiwete? Kilichomkuta JPM kitamkuta na huyo kiwete na alipo JPM ndipo anapoenda na huyo kiweteKwani JPM alikuwa amejizatiti kama Lowasa? JPM hakua na nguvu wala mtandao, na ndio kilichombeba
JPM alipojifanya chama ni mali yake na kuwageuka waliomuweka ni nini kilichomkuta? Yupo wapi huyo JPM kwa sasa?
tatizo mnapoeleza mambo haya mnajifanya kuyaeleza kwa hekima/woga bila kupasua kwa kusema ukweli na kutaja nini hasa kimetokea. Mwishowe inaonekana ni nyongo tu baada ya kushindwa ktk uchaguzi...... pasua jibu ili mpone..Sisi tulio makabila madogo na tulio pembezoni, tulionya sana katika miaka y karibuni juu ya kujitokeza vashiri vya Ukanda, Udini na Ukabila katika siasa za nchi.
Sasa zimeanza kujitokeza dhahiri na kwa kila mtu kujionea kwa macho yake yanayoendelea nchini.
Kama kuna kielelezo kinajitokeza ili kila mtu akione ni uchaguzi wa CCM kwa kuwania viti vya NEC.
Kwa princile ya wengi wape basi nchi hii itatawaliwa na watu toka pande fulani tu za nchi.
Tunajua mambo haya kuanzia uchaguzi huu, tulianza na "Mitandao" Awamu ya Tatu na NNe, na Awamu ya Tano ndio ikawa funga kazi, Mwenyekiti wa CCM aliyekuwepo na Rais vile vile alipendelea wazi wazi "wale waliomchagua".
Kama tulikuwa tunaisikia tu Apartheid kwa makaburu -yaani maendeleo ni kwa majimbo fulani tu, sasa laana hii ipo nchini.
The writing is on the walll, umoja wa kitaifa umeanza kupata nyufa.View attachment 2448450
Basi sukeni mitandao ya ukabila wenu mkitarajia, wingi wenu utapewa madarakaKwahiyo chama ni mali ya kiwete? Kilichomkuta JPM kitamkuta na huyo kiwete na alipo JPM ndipo anapoenda na huyo kiwete
Mkuu, umoja kama ulivyoshamiri chini ya Mwalimu, hujengwa.Uchaguzi wa NEC ulikuwaje kikabila? Wajumbe si walitoka pande mbali mbali za nchi na Kwa uwiano Sawa kiuwakilishi, sasa wamependelewa kivip? Tukubali tu kuwa kuna kanda zpo vzuri katika kilimo, kuna kanda zipo vizur katika biashara na kuna kanda zipo vizuri katika siasa!
Si mna chama chenu ,CCM inawahusu nini?Sisi tulio makabila madogo na tulio pembezoni, tulionya sana katika miaka y karibuni juu ya kujitokeza vashiri vya Ukanda, Udini na Ukabila katika siasa za nchi.
Sasa zimeanza kujitokeza dhahiri na kwa kila mtu kujionea kwa macho yake yanayoendelea nchini.
Kama kuna kielelezo kinajitokeza ili kila mtu akione ni uchaguzi wa CCM kwa kuwania viti vya NEC.
Kwa princile ya wengi wape basi nchi hii itatawaliwa na watu toka pande fulani tu za nchi.
Tunajua mambo haya kuanzia uchaguzi huu, tulianza na "Mitandao" Awamu ya Tatu na NNe, na Awamu ya Tano ndio ikawa funga kazi, Mwenyekiti wa CCM aliyekuwepo na Rais vile vile alipendelea wazi wazi "wale waliomchagua".
Kama tulikuwa tunaisikia tu Apartheid kwa makaburu -yaani maendeleo ni kwa majimbo fulani tu, sasa laana hii ipo nchini.
The writing is on the walll, umoja wa kitaifa umeanza kupata nyufa.View attachment 2448450
Kwa mtazamo wangu, mleta mada hana mtazamo potofu, na hata wazo lako uliloandika pale juu halikuwa la kijinga kama unavyofikiri, usijifunge ubongo wako kwa kudhani ulichoandika hakina maana..Chimbuko lake ni mada yenyewe na mtazamo potofu wa mleta mada.
Maana kuna msemo unasema mjinga usishindane naye, bali mpe cha kijinga alichokitarajia.
Ujinga mkubwa zaidi ni kutoelewa wala kuwa na uwezo wa kupambanua kile kinachoongelewa.Chimbuko lake ni mada yenyewe na mtazamo potofu wa mleta mada.
Maana kuna msemo unasema mjinga usishindane naye, bali mpe cha kijinga alichokitarajia.
Kama ukabila na ukanda ndiyo utaiua CCM basi wote tuunge mkono ukabila na ukanda .Asante mkuu.
Kuna watu wanajidai hawalioni hilo tatixo alimradi wanafaidika kwa wingi wao.
CCM isipokuwa makini ,itajitengenezea matatizo ambayo hitaweza kuyatatua siku za usoni.
Ukabila, Ukanda ni lazima vitaimaliza CCM.
Aoartheid , the core sin of development denial based on discrimination and racism.Apartheid ni separate needs of development.....among people of different races/needs etc.