Siasa za ukabila haziwezi kuisha Kenya

Siasa za ukabila haziwezi kuisha Kenya

Sio media za Kenya pekee, vyombo vingi vya habari ikiwemo mitandao ya Kijamii, lakini pia tunamuona kwenye TV akizungumza na kufuatilia mambo kwa karibu na umahiri mkubwa.

Kitendo cha mkikuyu kumfanya non-Kikuyu kuwa super CS inaonyesha wazi kwamba amewazidi kwa mbali sana hayo makabila makubwa
Sasa utaamini vipi vyombo vya habari kenya, kumuona kw tv sio hoja huenda ikawa anaigiza ndio akina NTV wapate views na kuonekane kenya kuna viongozi bora
 
Nachoshukuru Mungu huku Tanzania watu wamesahau mambo ya ukabila siku nyingi sana,kuna wengine hata hawajui wao ni kabila gani
Shikamoo Nyerere,hili la ukabila ulifaulu sana.
Hahahaha!!msukuma akipata tena ujue dar itatawaliwa na msukuma tu
 
ila wajaruo wana matatizo kuna shule moja nilisoma mwanza mmliki wa shule alikuwa ni mjaruo akajaza walimu wajaruo then akatokea second master alikuwa mjaruo pia akaanzisha kutugawa kiukabila mfano ikitokea mtu kafanya kosa unaulizwa kabila lake kisha watu wa ilo kabila wote wanaitwa mnachezea bakora [emoji849] Bt our genius head boy akalipoti hichi kitendo kwa uongozi wa mtaa eneo ambalo school yetu ilikuwepo
Shule gani hyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
huku tz ukabila tuliuzika zamani tukabaki na uswahili mwingi unaotufanya kua maarufu zaidi kila kona ya dunia
Muacha mila siku zote ni mtumwa[emoji1787][emoji1787]
Uswahili bila waarabu haungekuwepo, au hilo hujui..

Endeleeni kutupa tamaduni zenu, kisha licha ya kujisifia kote hko na kiswahili..
Tanzania hakuna waswahili wale pure labda uje kenya
 
Wewe ni miongoni mwa hizo kabila teule au wewe upo katika kundi la " Second class tribes?"
Baba anatoka katika kabila moja teule na mama lingine teule lakini sijui kuzungumza lugha hizo. Nafahamu Kiswahili na Kizungu pekee. Mimi ni Mkenya aliyezaliwa na kukulia mjini maisha yangu yote. Huku mjini tunachapa kiswahili na Sheng' na Kiingereza.
 
MY TAKE:
If Kikwete, Mkapa, Mwinyi and Nyerere were born in Kenya, they could have not become Presidents, only Magufuli would have made it to the Presidency as the other 4 r from smaller tribes!

Hivi, Mkipsig unaweza kuwa Rais Kenya leo hii?
Kipsigis is under kalenjin mbona asipewe?.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
ila kuna mjaruo mmoja tuliishi nae peace saana baadae tukaja kugundua yeye kakulia usukumani
Tanzania Kuna kabila la wajaluo haimaanishi mtu akiwa mjaluo tanzania Basi ni mkenya ni kabila tu la huko jinsi ilivyo maasai au kabila lolote lile,usiwe boya hata leo uki Google makabila ya tanzania utapata kabila la kiluo miongoni mwa makabila yenu haimaanishi Sasa hao Ni Wakenya.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha!!msukuma akipata tena ujue dar itatawaliwa na msukuma tu
watu mlozoea ukabila hii lazima iwaume sana,unacheza kusikia nchi isyo na ukabila halafu wewe ukabila unakutesa ndani ya nchi yako.
 
watu mlozoea ukabila hii lazima iwaume sana,unacheza kusikia nchi isyo na ukabila halafu wewe ukabila unakutesa ndani ya nchi yako.
Msukuma akipata tena dar lazima itawaliwe na msukuma..makajamba wote mikoani[emoji1787][emoji1787]
 
Baba anatoka katika kabila moja teule na mama lingine teule lakini sijui kuzungumza lugha hizo. Nafahamu Kiswahili na Kizungu pekee. Mimi ni Mkenya aliyezaliwa na kukulia mjini maisha yangu yote. Huku mjini tunachapa kiswahili na Sheng' na Kiingereza.
Hongera
 
Tanzania Kuna kabila la wajaluo haimaanishi mtu akiwa mjaluo tanzania Basi ni mkenya ni kabila tu la huko jinsi ilivyo maasai au kabila lolote lile,usiwe boya hata leo uki Google makabila ya tanzania utapata kabila la kiluo miongoni mwa makabila yenu haimaanishi Sasa hao Ni Wakenya.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
najua ila hao walikuwa wajaruo wa kenya

wajaruo wa Tz huwa hawana makuu kbs japokuwa kiualisia sio waongeaji mbele za watu
 
Mkipsigis ni Mkale. Kalenjin ni kabila kubwa Kenya. Ndio anaweza kuwa rais
Yaani unazungumzia ukabila wazi wazi hata huogopi? Ha ha ha, eti Kalenjin ni kabila kubwa Kenya; nyang'au bado mna safari ndefu.
 
Yani useme uongo halafu iniume,zaidi nitazidi kukuona Pembe tatu za mraba.
Juice ya mtama si nzuri ,
Kweli ni uongo kabisa, dar haitawaliwi na msukuma[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom