komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Sasa utaamini vipi vyombo vya habari kenya, kumuona kw tv sio hoja huenda ikawa anaigiza ndio akina NTV wapate views na kuonekane kenya kuna viongozi boraSio media za Kenya pekee, vyombo vingi vya habari ikiwemo mitandao ya Kijamii, lakini pia tunamuona kwenye TV akizungumza na kufuatilia mambo kwa karibu na umahiri mkubwa.
Kitendo cha mkikuyu kumfanya non-Kikuyu kuwa super CS inaonyesha wazi kwamba amewazidi kwa mbali sana hayo makabila makubwa