yorkshire
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 2,525
- 3,139
Kuna "sheng" iliyokolea kbs sidhani hata Nairobians wengi huwa mnaelewanaBaba anatoka katika kabila moja teule na mama lingine teule lakini sijui kuzungumza lugha hizo. Nafahamu Kiswahili na Kizungu pekee. Mimi ni Mkenya aliyezaliwa na kukulia mjini maisha yangu yote. Huku mjini tunachapa kiswahili na Sheng' na Kiingereza.
Shortly sheng kuielewa lazima uwe unaishi Nairobi tu ukitoka hata miezi 3 tu utakaporudi huwezi kuelewa ni lugha gani inazungumzwa hapo ;kiswahili si kiswahili, english si english wala kikabila si kikabila
Sent from my TECNO B1 using JamiiForums mobile app