Siasa za ukabila haziwezi kuisha Kenya

Siasa za ukabila haziwezi kuisha Kenya

Baba anatoka katika kabila moja teule na mama lingine teule lakini sijui kuzungumza lugha hizo. Nafahamu Kiswahili na Kizungu pekee. Mimi ni Mkenya aliyezaliwa na kukulia mjini maisha yangu yote. Huku mjini tunachapa kiswahili na Sheng' na Kiingereza.
Kuna "sheng" iliyokolea kbs sidhani hata Nairobians wengi huwa mnaelewana

Shortly sheng kuielewa lazima uwe unaishi Nairobi tu ukitoka hata miezi 3 tu utakaporudi huwezi kuelewa ni lugha gani inazungumzwa hapo ;kiswahili si kiswahili, english si english wala kikabila si kikabila


Sent from my TECNO B1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom