Sasa utaamini vipi vyombo vya habari kenya, kumuona kw tv sio hoja huenda ikawa anaigiza ndio akina NTV wapate views na kuonekane kenya kuna viongozi boraSio media za Kenya pekee, vyombo vingi vya habari ikiwemo mitandao ya Kijamii, lakini pia tunamuona kwenye TV akizungumza na kufuatilia mambo kwa karibu na umahiri mkubwa.
Kitendo cha mkikuyu kumfanya non-Kikuyu kuwa super CS inaonyesha wazi kwamba amewazidi kwa mbali sana hayo makabila makubwa
Hahahaha!!msukuma akipata tena ujue dar itatawaliwa na msukuma tuNachoshukuru Mungu huku Tanzania watu wamesahau mambo ya ukabila siku nyingi sana,kuna wengine hata hawajui wao ni kabila gani
Shikamoo Nyerere,hili la ukabila ulifaulu sana.
Shule gani hyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila wajaruo wana matatizo kuna shule moja nilisoma mwanza mmliki wa shule alikuwa ni mjaruo akajaza walimu wajaruo then akatokea second master alikuwa mjaruo pia akaanzisha kutugawa kiukabila mfano ikitokea mtu kafanya kosa unaulizwa kabila lake kisha watu wa ilo kabila wote wanaitwa mnachezea bakora [emoji849] Bt our genius head boy akalipoti hichi kitendo kwa uongozi wa mtaa eneo ambalo school yetu ilikuwepo
Zuka hilo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ni uongo
Muacha mila siku zote ni mtumwa[emoji1787][emoji1787]huku tz ukabila tuliuzika zamani tukabaki na uswahili mwingi unaotufanya kua maarufu zaidi kila kona ya dunia
Baba anatoka katika kabila moja teule na mama lingine teule lakini sijui kuzungumza lugha hizo. Nafahamu Kiswahili na Kizungu pekee. Mimi ni Mkenya aliyezaliwa na kukulia mjini maisha yangu yote. Huku mjini tunachapa kiswahili na Sheng' na Kiingereza.Wewe ni miongoni mwa hizo kabila teule au wewe upo katika kundi la " Second class tribes?"
Kipsigis is under kalenjin mbona asipewe?.
MY TAKE: If Kikwete, Mkapa, Mwinyi and Nyerere were born in Kenya, they could have not become Presidents, only Magufuli would have made it to the Presidency as the other 4 r from smaller tribes!
Hivi, Mkipsig unaweza kuwa Rais Kenya leo hii?
Tanzania Kuna kabila la wajaluo haimaanishi mtu akiwa mjaluo tanzania Basi ni mkenya ni kabila tu la huko jinsi ilivyo maasai au kabila lolote lile,usiwe boya hata leo uki Google makabila ya tanzania utapata kabila la kiluo miongoni mwa makabila yenu haimaanishi Sasa hao Ni Wakenya.ila kuna mjaruo mmoja tuliishi nae peace saana baadae tukaja kugundua yeye kakulia usukumani
mbona wanapigana sasa?
watu mlozoea ukabila hii lazima iwaume sana,unacheza kusikia nchi isyo na ukabila halafu wewe ukabila unakutesa ndani ya nchi yako.Hahahaha!!msukuma akipata tena ujue dar itatawaliwa na msukuma tu
Wote ni wafugaji na umejua Nini chanzo Cha mapiganombona wanapigana sasa?
Msukuma akipata tena dar lazima itawaliwe na msukuma..makajamba wote mikoani[emoji1787][emoji1787]watu mlozoea ukabila hii lazima iwaume sana,unacheza kusikia nchi isyo na ukabila halafu wewe ukabila unakutesa ndani ya nchi yako.
HongeraBaba anatoka katika kabila moja teule na mama lingine teule lakini sijui kuzungumza lugha hizo. Nafahamu Kiswahili na Kizungu pekee. Mimi ni Mkenya aliyezaliwa na kukulia mjini maisha yangu yote. Huku mjini tunachapa kiswahili na Sheng' na Kiingereza.
najua ila hao walikuwa wajaruo wa kenyaTanzania Kuna kabila la wajaluo haimaanishi mtu akiwa mjaluo tanzania Basi ni mkenya ni kabila tu la huko jinsi ilivyo maasai au kabila lolote lile,usiwe boya hata leo uki Google makabila ya tanzania utapata kabila la kiluo miongoni mwa makabila yenu haimaanishi Sasa hao Ni Wakenya.
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Hivi bado kuna watu wanatumia uongo wa Insta hadi leo.Msukuma akipata tena dar lazima itawaliwe na msukuma..makajamba wote mikoani[emoji1787][emoji1787]
Yaani unazungumzia ukabila wazi wazi hata huogopi? Ha ha ha, eti Kalenjin ni kabila kubwa Kenya; nyang'au bado mna safari ndefu.Mkipsigis ni Mkale. Kalenjin ni kabila kubwa Kenya. Ndio anaweza kuwa rais
Imekuuma[emoji382][emoji382][emoji382]Hivi bado kuna watu wanatumia uongo wa Insta hadi leo.
Yani useme uongo halafu iniume,zaidi nitazidi kukuona Pembe tatu za mraba.Imekuuma[emoji382][emoji382][emoji382]
Kweli ni uongo kabisa, dar haitawaliwi na msukuma[emoji122][emoji122][emoji122]Yani useme uongo halafu iniume,zaidi nitazidi kukuona Pembe tatu za mraba.
Juice ya mtama si nzuri ,
Unajua maana ya mtawala au kiswahili kigumu tubadili lugha ?Kweli ni uongo kabisa, dar haitawaliwi na msukuma[emoji122][emoji122][emoji122]