Baba anatoka katika kabila moja teule na mama lingine teule lakini sijui kuzungumza lugha hizo. Nafahamu Kiswahili na Kizungu pekee. Mimi ni Mkenya aliyezaliwa na kukulia mjini maisha yangu yote. Huku mjini tunachapa kiswahili na Sheng' na Kiingereza.