Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Watu wapo kazini katika kutafuta riziki kwa maneno matamu matamu yenye matumaini kwa wale waliokata tamaa,wanaofikiri pengine kubadilika kwa serekali huenda watafadika kwa namna fulani na maisha yao kubadilika/ vs maneno ya nabii kiboko ya wachawi juu ya kuwapatia watu maneno yenye tumaini ya kwamba umasikini utaondoshwa kimuujiza mara pale watakapotoa dhabihu yaani sadaka yenye kuumiza nafsi,kutoa fedha nyingi zaidi ndiyo utajiri mkubwa zaidi kukujia ghafla, hili hili ndilo tumaini la wana chadema,(sweet intelegent words that gives hope to hopeless) kiasi cha kuondosha ufahamu wao totally!
Njia ndiyo hii hii inayotumiwa na manabii wa uongo,shida zako ndiyo mtaji wao!....pananapokuwa na negativity nyingi basi penyeza positivity (hope)
Inshaallah.
Njia ndiyo hii hii inayotumiwa na manabii wa uongo,shida zako ndiyo mtaji wao!....pananapokuwa na negativity nyingi basi penyeza positivity (hope)
Inshaallah.