Siasa za visasi: Rwanda yapandisha ushuru kwa magari ya mizigo yanayotokea Tanzania

Status
Not open for further replies.
Kwani Wanyarwanda wamesahau kua nchi yao ni land locked?watakufa wao njaa !!Halafu kipigo cha juzi cha M23 ndo kinawauma waambie Watz tunajua tukitoka kivu tunakuja kumkamata PK dead or alive

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwani Wanyarwanda wamesahau kua nchi yao ni land locked?watakufa wao njaa !!Halafu kipigo cha juzi cha M23 ndo kinawauma waambie Watz tunajua tukitoka kivu tunakuja kumkamata PK dead or alive

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums


Kenyatta anafanya biashara pale banadari ya mombasa watakufaje? uzuzu wa rais wetu sasa wafanyabiashara wetu wanataabika kunawatanzania watafilisika kupitia bifu hili.

JK Nyerere alitambua kuishi vema na majirani ndiyo njia pekee yakujihakikishia amani ya kudumu.
 
this is not a joke its true..... mwenyekiti wa chama cha wasafirishaji as we speak yuko desperate kuongea na wizara husika kusolve hii issue maaan tusishabikie udaku kuna watu watafirisika na business kuwa closed we should not be happy at all with this move!! kama ni issue tu ya kupandisha kodi mbona kwa malori ya kenya na uganda rate zibaki zilezile za zamani!!
 
Kichwa cha habari kimeka kiudaku

From the content ni kwamba ushuru umepanda kwa magari ya Tanzania pekee kutoka Dola 150 hadi Dola 500 huku magari kutoka nchi nyingine yakilipa ushuru za zamani,kwa maana nyingine ni "Magari ya Tanzania yanazuiliwa kuingia Rwanda"

Akufukuzaye hakwambii toka.
 
Teh teh teh , naisi kuna mkono wa mataifa ya kibepari kwenye hii filamu
 
wewe mtusi huna jpya JK TANDKA HUYO MUASI KAGAME
 

Akili zako haziko sawa bila shaka na unautumia vibaya uhuru wa kuongea. Even if, you cant call your prez zuzu hii inamaanisha umeitukana tanzania na watanzania waliomchagua. Hatuwezi filisika kwa sababu ya wilaya (rwanda) kama unachuki binafsi na kikwete sema lkn sio kwa hili
 

Ni kweli, lakini wahenga walisema heri lawama kuliko fedheha. Haiingii akilini eti leo tuanze kuweweseka kwa kuwa RWANDA inataka kutuwekea vikwazo!!!! Wewe unataka tukampigie kagame magoti? Maelfu ya ndugu zetu wa Rwanda walikuwa wanaishi wao na mali ya Tanzania, na bado idadi kubwa ya Watanzania wanafanya kazi Rwanda. Ni ujinga mtupu kunyenyekea kwa PK. Kama ni vikwazo, sio kwa Wafanyabiashara wa Kitanzania tu, ila kwanza kwa Wanyaruanda wenyewe! Wao wakigoma, wengine wala. Pamoja na mie kutomuunga JK mkono kwa mambo mengi, ila kwa hili AMIRI JESHI MKUU WA TZ, kaza kamba!! Kama walizoea kula vya kunyonga, basi waeleze sisi tunakula vya kuchinja!
 

Even you pia ni zuzu. watu wanapoteza mali, fedha na biashara zao why? can you justify????
 
wewe mtusi huna jpya JK TANDKA HUYO MUASI KAGAME

Mshahara wa dhambi ni mauti, fukuzafukuza ya mh kikwete sasa inapata majibu. kwanini watanzania wateseke.

You miss the point guy, more people will be humiliated unreasonably think into three-d
 
Even you pia ni zuzu. watu wanapoteza mali, fedha na biashara zao why? can you justify????

Unafikiri mali zimeanza kupotea leo! Kila saa na dakika kunawatu wanafilisika duniani iwe sembuse hawa . kama kunawatu watafilisika kwa sababu ya huo mgogoro acha wafilisike lkn kaa ukijua hatuwezi kumpigia goti kagame. Elimu humpa mtu busara na hekima. Watanzania sio mazuzu basi kama ni mazuzu basu uzuzu umeanzia kwako
 
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…