Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkoroshokigoli, ndio utajua kwamba dunia imeumbwa haikujiumba wala binadamu kujiumbia watakavyo. Endeleza Research yako uone nchi zenye bahari zina sifa gani kuu..ndio utaona God is Great and CreatorKobello mi nawaza ingekuaje ikiwa Rwanda ndo wangekua na bahari????
Kwani Wanyarwanda wamesahau kua nchi yao ni land locked?watakufa wao njaa !!Halafu kipigo cha juzi cha M23 ndo kinawauma waambie Watz tunajua tukitoka kivu tunakuja kumkamata PK dead or alive
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
CCM na serikali yake inatupeleka pabaya
Kichwa cha habari kimeka kiudaku
wewe mtusi huna jpya JK TANDKA HUYO MUASI KAGAMEKenyatta anafanya biashara pale banadari ya mombasa watakufaje? uzuzu wa rais wetu sasa wafanyabiashara wetu wanataabika kunawatanzania watafilisika kupitia bifu hili.
JK Nyerere alitambua kuishi vema na majirani ndiyo njia pekee yakujihakikishia amani ya kudumu.
Kenyatta anafanya biashara pale banadari ya mombasa watakufaje? uzuzu wa rais wetu sasa wafanyabiashara wetu wanataabika kunawatanzania watafilisika kupitia bifu hili.
JK Nyerere alitambua kuishi vema na majirani ndiyo njia pekee yakujihakikishia amani ya kudumu.
this is not a joke its true..... mwenyekiti wa chama cha wasafirishaji as we speak yuko desperate kuongea na wizara husika kusolve hii issue maaan tusishabikie udaku kuna watu watafirisika na business kuwa closed we should not be happy at all with this move!! kama ni issue tu ya kupandisha kodi mbona kwa malori ya kenya na uganda rate zibaki zilezile za zamani!!
Akili zako haziko sawa bila shaka na unautumia vibaya uhuru wa kuongea. Even if, you cant call your prez zuzu hii inamaanisha umeitukana tanzania na watanzania waliomchagua. Hatuwezi filisika kwa sababu ya wilaya (rwanda) kama unachuki binafsi na kikwete sema lkn sio kwa hili
wewe mtusi huna jpya JK TANDKA HUYO MUASI KAGAME
Even you pia ni zuzu. watu wanapoteza mali, fedha na biashara zao why? can you justify????
Mshahara wa dhambi ni mauti, fukuzafukuza ya mh kikwete sasa inapata majibu. kwanini watanzania wateseke.
You miss the point guy, more people will be humiliated unreasonably think into three-d
Sina hakika kwanini EAC hawajafanya harmonization katika hili, hata hivyo bado kuna mambo ya msingi nawe pia uyabainishe. 1. Je ushuru wa Barabara unakadiriwa kwa kutumia kigezo gani? kwasababu kama usemavyo ndivyo, kuna haja ya kujiuliza ukubwa wa athari kwa Barabara baina ya safari mbili (yaani kutoka Rusumo hadi Dar na kutoka Rusumo hadi Kigali). Nionavyo mimi magari ya Rwanda "yanaathiri" barabara kutoka Rusumo hadi Dar wakati yale ya Tanzania "yataathiri" barabara kutoka Rusumo hadi Kigali ambapo ni distance fupi (if am right). Hivyo ndiyo yaweza kuwa sababu ya kuweka tozo tofauti. Aidha sababu nyingine ni idadi ya magari yanayovuka kila upande (basing on revenue collection); kwa kuwa magari mengi ni kutoka Tanzania, kiwango kidogo cha tozo kinaweza kuleta makusanyo makubwa tofauti na magari yatokayo Rwanda kuingia Tanzania hayana budi kulipa kiwango kikubwa ili kuwa na significant revenue (kama siyo mengi).
Mkuu weka tofauti kando kaka, Hii ni business usifanye mchezo. Mwanzoni walikuwa wakitoza 150 USD per truck sasa wameongeza mpaka 500USD kwa magari ya TZ pekee, Ya nchi zingine wanachaji hiyohiyo 150usd. Sasa inaonekana hujui hali ipoje kaka.
Ikiwa kweli hali ndio iko hivyo, ni vema tuchujue charge kwa upande wa Rwanda/Kenya; Rwanda/Uganda na Rwanda/Burundi (ceteris paribus). Tukijua hivyo tutaweza kuona nini Tanzania inaweza kufanya. Na nmna mojawapo ni kutumia "US style"; kiburi cha Rwanda kinatoka Kenya, Mombasa Port na Trilateral cooperation lakini Kenya inauza Tanzania zaidi ya 50% ya mauzo yake yote EAC; hivyo namna rahisi ni ku-deal na Kenya kwa kumuanzishia mashrti magumu ya kuingiza bidhaa zake Tanzania (based on cost-benefit analysis). Hii itamlazimisha Kenya apeleke hoja EAC kwanini Tanzania imeweka masharti mapya na hapo ndipo Tanzania ita-lobby kupata maamuzi yatakayotengua tozo mpya ya Rwanda (Reverts all new rates imposed by any EAC country on specific dates before negotiating) .
Usiwe mwepesi mkuu, ngoja kwanza atupe info zaidi huyu murutongore kama yuko sahihi. Sioni kwanini Rwanda ilikuwa inataka kuwa na rate moja na Tanzania bilateral badala ya Regional? Na je vigezo gani havina budi kutumika kama tutafikia kuwa na equal rates wakati (huenda) magari kutoka kila upande yanatumia barabara umbali tofauti?
Toa maelezo zaidi acha unazi, Rusumo/Kigali-Rusumo/Dar how? Na je kwanini accomodating ya Kigali iwe bilateral badala ya Regional approach kama hiyo ndiyo hoja?
Mkuu salute nimependa uchambuzi wako. Tatizo sasa ni hao watendaji inakuwaje,
chama@ZeMarcopolo@Ritz hivi TISS haina kitengo cha ECONOMIC INTELIGENCY UNIT ambacho kinadeal na mambo ya business both domestic na international?
Kwa kushindwa kuimarisha uhusiano mwema na majirani zetukwani serikali ya CCM ndo imepandisha kodi ya magari?