Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Wakati wa Mwalimu, serikali ya Habyarimana (ingawa simfagilii) na serikali ya Kaunda ... baadae of course Samora. Wengine wote wanaotuzunguka walikuwa wamepigwa ban.Nimesema sana nimebezwa.
Lazima tuwe na viongozi wenye hekima, busara na wenyekujali utu. Mwl Julius Nyerere pamoja na udogo wake hakuipuuza wala kuidharau Zanzibar, aliipa heshima kamili. hakuwapuuza wala kuwabaguwa majirani zake, tumepata watawala wasionaaibu wala hawaoni mbele, kwao lazima visasi na uwongo ndiyo sera.
Tutawapuuza wanyarwanda lakini kuna baadhi ya watanzania watapoteza mali na hata kufilisika kwa sababu za kijinga kabisa wala hazina mashiko kwa mtu yoyote mwenyekufikiri vema.
Lazima tuzingatie mahusiano bora na majirani zetu kwa matokeo bora ya tanzania ya kesho
Hujui historia ya nchi yako, kwa hiyo nenda uani.