Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
We mzee bwana!Leo ni siku nyingine tena ambayo kesi ya Lissu itatajwa mahakamani.
Ni matumaini yetu wote kwamba amani itatawala.
Amani tu ndiyo inayoweza kutusaidia. Haki zote tunazidai,mabadiliko tunayoyatafuta,tusifanye vurugu .
Be still,and know God.
Kama unataka kumsikia Mungu lazima utuliie.
Jamii isiyotenda haki ni jamii inayoishi kama wanyama wa mwituni tena wanyama wasio wa jamii moja .Leo ni siku nyingine tena ambayo kesi ya Lissu itatajwa mahakamani.
Ni matumaini yetu wote kwamba amani itatawala.
Amani tu ndiyo inayoweza kutusaidia. Haki zote tunazidai,mabadiliko tunayoyatafuta,tusifanye vurugu .
Be still,and know God.
Kama unataka kumsikia Mungu lazima utuliie.
Wananchi wamechoka na hizi ngonjera zenu za kutaka kudumisha amani ya kinafiki, huku nyinyi mafisadi wachache mkiendelea kuneemeka kiuchumi, halafu mamilioni ya wananchi wakitaabika kwa ugumu wa maisha.Leo ni siku nyingine tena ambayo kesi ya Lissu itatajwa mahakamani.
Ni matumaini yetu wote kwamba amani itatawala.
Amani tu ndiyo inayoweza kutusaidia. Haki zote tunazidai, mabadiliko tunayoyatafuta, tusifanye vurugu .
Be still, and know God.
Kama unataka kumsikia Mungu lazima utuliie.
Nyerere alituachia amani ya ukondoo ndiyo inaitesa nchi hadi leo.Leo ni siku nyingine tena ambayo kesi ya Lissu itatajwa mahakamani.
Ni matumaini yetu wote kwamba amani itatawala.
Amani tu ndiyo inayoweza kutusaidia. Haki zote tunazidai, mabadiliko tunayoyatafuta, tusifanye vurugu .
Be still, and know God.
Kama unataka kumsikia Mungu lazima utuliie.
Naunga mkono hojaLeo ni siku nyingine tena ambayo kesi ya Lissu itatajwa mahakamani.
Ni matumaini yetu wote kwamba amani itatawala.
Amani tu ndiyo inayoweza kutusaidia. Haki zote tunazidai, mabadiliko tunayoyatafuta, tusifanye vurugu .
Be still, and know God.
Kama unataka kumsikia Mungu lazima utuliie.
Vipi una maoni gani kuhusu mawakili wenzio waliokuja kusikiliza kesi wameishia kuzuiliwa uwanja wa ndegeNaunga mkono hoja
P
Kiukweli naumia sana kwa jinsi Rais wetu Samia,alivyozungukwa na majitu majinga ya ajabu,yanayofanya ujinga wa ajabu kabisa unatuchafulia taswira ya nchi yetu kitaifa na kimataifa!。Vipi una maoni gani kuhusu mawakili wenzio waliokuja kusikiliza kesi wameishia kuzuiliwa uwanja wa ndege
Au nao walikuja kufanya vurugu?
Au ukiliongelea hili utakuwa umegusa maslahi yako?
Kuna siku tutaongea lugha mojaKiukweli naumia sana kwa jinsi Rais wetu Samia,alivyozungukwa na majitu majinga ya ajabu,yanayofanya ujinga wa ajabu kabisa unatuchafulia taswira ya nchi yetu kitaifa na kimataifa!。
Nchi za EAC,tuna freedom of movement kwa raia wetu,unagongewa visa at entry point na hupaswi kuulizwa unakuja Tanzania kufanya nini!,mi mwenyewe kuna vyakula fulani vya Kiganda,huwa napenda kuvila,nikiwa na regional trips zangu, napanda Uganda Airlines,nashukia Kampala, moja moja Kampala Sheraton,naagiza chakula,najilia na kuendelea na safari, no one ask me anything!。
Haya majitu majinga ndio yanamchafulia Mama!,ila Mama nae..., kuna vitu vingine inachukua CPA,unasoma mwenyewe treason ni nini,na sedition ni nini,what ammout to treasonable offences,sio anayawchia majinga haya,yanamtungia sheria batili, yanaunda tume batili ya INEC, sasa nchi inachafuliwa kimataifa kwa ujinga tuu!,inaumiza sana!。
P
Njia rahisi ni kuwa na chama kimoja tu kama awali.Leo ni siku nyingine tena ambayo kesi ya Lissu itatajwa mahakamani.