Hata Kama wewe sio mayalla wa 2015 kurudi nyuma uliamua tu kuunga juhudi baada ya kutishwa.Mkuu Bayyo , huwezi kuzuia watu kusema, tena kwenye machungu, watu walioumizwa kwa ndani, wakisema ndio wanapunguza machungu, hivyo ni rukhsa kunitumia mimi kupunguzia machungu.
P
Hana cha kujibu,kisiwa kimetulia watu wamejifungia ndani tu,ni ma difender kila kona,hakuna shangwe wala vigelegele vya ushindi.Akikujibu nitag nione mtumwa amejibu nini?
Kama umesoma historia ya utumwa utaona kuwa mababu zetu wakiafrika ndio walichangia kuwauza waafrika wenzao kwa kupewa kioo ajione, mfano wa sasa ni huyu mtumwa pascal
Ushindi wa kishindo tungeona ivo vishindo vya kusherekea..... wataishia kisiwandui na kwenye maskani zao. Aibu tupuHana cha kujibu,kisiwa kimetulia watu wamejifungia ndani tu,ni ma difender kila kona,hakuna shangwe wala vigelegele vya ushindi.
Amegeuka kuwa wakala wa shetani.Kisa cha kumchukia kiasi hicho ni nini?
Jamanieee, mlio karibu na Salary slip kaeni na kwa uangalifu asije akajinyongaWewe nakuona kama mtu muovu hapa JF na hata siku nikisikia umepatwa na baya kutoka kwa hao unaowatetea hapa JF, hakika sitokuhurumia wala kukupa pole.
Umekosa utu kwa kiwango cha kutisha na ni mtu hatari sana wewe.
ameonyesha mahaba kwa chama tawala na ccm na rais magufuli hivyo hafai hata.Mkuu unamuitaje mwenzio shetani?
Kafanya nini?
Wanaleta utani kwenye roho za watanzania wenzao, wana laana.Nimetoka Hospitali ya Mnazi Mmoja hapa Zanzibar sasa hivi kumjulia hali mgonjwa wangu, niliyoyaona yanatisha sana, imebidi nichangie damu bila ya kutaka, watu wana majeraha ya kuchomwa na visu vya mabunduki na wengi wamefatwa majumbani mwao, wameumizwa sana. Kuona mtu anajikomba na kuwatetea wauwaji inanishangaza sana. Mayalla nadhani ajali ya pikipiki uliopata miaka ya zamani imeharibu sehemu kubwa ya ubongo wako kuliko unavyodhani. Sina Shaka na wewe sasa ni muuaji tu kama walivyo wengine, hongera sana.
Kwenye uchaguzi upi? Tanzania hakuna uchaguzi bali ni vioja na maigizo ya CCM kuihadaa DuniaWatasema wewe ni kibaraka wa CCM, wana hasira za kugaragazwa kwa Lissu na Mbowe!
Paskal mayala ajiandae kwa Albadiri tokea pemba maana wamekataa upumbavu wake wa kutetea ushetani wa CCMWanaleta utani kwenye roho za watanzania wenzao, wana laana.