Zanzibar 2020 Siasa za Zanzibar: Hongera Dr. Mwinyi Kwa Ushindi wa Kishindo, Maalim Makamo wa I, Mteue Balozi Amina Salum Ally Awe Makamo wa II, Utoe Sare Sare Maua

Zanzibar 2020 Siasa za Zanzibar: Hongera Dr. Mwinyi Kwa Ushindi wa Kishindo, Maalim Makamo wa I, Mteue Balozi Amina Salum Ally Awe Makamo wa II, Utoe Sare Sare Maua

Sidhani kama maalim anaweza kukubali kukaa meza moja na wadhalimu! Kwa yaliyotokea Zanzibar umejifanya kipofu na kiziwi kwa wakati mmoja kama hali iko shwari au mnadhani kuwa ccm huko ndio tiket ya kwenda mbinguni eh!?
 
Hongera P, naomba uende mbali ya hapo suluhu kwa sasa ni kutafuta misingi imara kulinda umoja wa taifa letu.RIP ndugu zetu Zbar wahanga uchaguzi huu.
 
Akikujibu nitag nione mtumwa amejibu nini?

Kama umesoma historia ya utumwa utaona kuwa mababu zetu wakiafrika ndio walichangia kuwauza waafrika wenzao kwa kupewa kioo ajione, mfano wa sasa ni huyu mtumwa pascal
Hana cha kujibu,kisiwa kimetulia watu wamejifungia ndani tu,ni ma difender kila kona,hakuna shangwe wala vigelegele vya ushindi.
 
Kuna siku nilimwabia huyu Pasco ni right hand man wa Mkapa hakunijibu alijua nini naongelea. Huyu ni mmoja wa wapishi wa uchaguzi Tanzania nishaonana nae sana maeneo ila sina mda nae wa kumsalimia.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Mwacheni pascal lazima mfahamu naye ana familia. Hamna kitu kigumu kama kuwa na msimamo kwenye awamu hii. So mwacheni ajitengenezee mazingira mazuri. Kipindi kile anajifanya kutetea haki sisi tunajua alipitia magumu gani kiuchumi. Alishindwa lowassa,sumaye,macha atakuwa huyu mayala. Ambayo kwa kisukuma maana yake njaa? Acheni jamani.
 
Ni mataahira (mental retards) pekee ndiyo wanaweza kushangilia eti CCM wameshinda uchaguzi huu wa 2020.
 
Nimetoka Hospitali ya Mnazi Mmoja hapa Zanzibar sasa hivi kumjulia hali mgonjwa wangu, niliyoyaona yanatisha sana, imebidi nichangie damu bila ya kutaka, watu wana majeraha ya kuchomwa na visu vya mabunduki na wengi wamefatwa majumbani mwao, wameumizwa sana. Kuona mtu anajikomba na kuwatetea wauwaji inanishangaza sana. Mayalla nadhani ajali ya pikipiki uliopata miaka ya zamani imeharibu sehemu kubwa ya ubongo wako kuliko unavyodhani. Sina Shaka na wewe sasa ni muuaji tu kama walivyo wengine, hongera sana.
 
Tulizoea kuona CCM wakiiba kura kwenye kila uchaguzi ila awamu hii wamelawiti uchaguzi badala ya kuiba kura!
 
Kwanini huyo Mwinyi asikubali kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais?

Kwani nyie CCM mna hati miliki ya kuitawala Zanzibar? kwma ipo mlipewa na nani?
 
Nimetoka Hospitali ya Mnazi Mmoja hapa Zanzibar sasa hivi kumjulia hali mgonjwa wangu, niliyoyaona yanatisha sana, imebidi nichangie damu bila ya kutaka, watu wana majeraha ya kuchomwa na visu vya mabunduki na wengi wamefatwa majumbani mwao, wameumizwa sana. Kuona mtu anajikomba na kuwatetea wauwaji inanishangaza sana. Mayalla nadhani ajali ya pikipiki uliopata miaka ya zamani imeharibu sehemu kubwa ya ubongo wako kuliko unavyodhani. Sina Shaka na wewe sasa ni muuaji tu kama walivyo wengine, hongera sana.
Wanaleta utani kwenye roho za watanzania wenzao, wana laana.
 
Zanzibar napo unasaka uteuzi? Paskal mayala Mbona huna ubinadamu? Kuna uchaguzi gani Zanzibar mpaka umpongeze mwinyi? CCM imeulawiti na kuubaka uchaguzi Zanzibar na wewe unaita eti ni ushindi?
 
Back
Top Bottom