Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Hihii blaza vimba upasukeWewe nakuona kama mtu muovu hapa JF na hata siku nikisikia umepatwa na baya kutoka kwa hao unaowatetea hapa JF, hakika sitokuhurumia wala kukupa pole.
Umekosa utu kwa kiwango cha kutisha na ni mtu hatari sana wewe.
Kijana mimi sikutaka kuchangia, lkn post yako hii imenifanya nichangie kwa ajili ya kukupongeza kwa mchango wako huu wenye kujenga. AmandlaMaalim Seif apokee tu hiyo position ili akafight kupenyeza baadhi ya ahadi zake nyingi za kampeni zitekelezwe, kwa maslahi mapana ya Taifa.
Pia itampa nafasi ya kuijenga zaidi ACT Wazalendo huku akijiandaa kustaafu siasa kwa heshima.
Akisusa maisha yatasonga tu na haitamsaidia yeye binafsi, chama chake na Wazanzibar wote.
I don't believe this !.Pascal kwani nyinyi wavamizi mbona hamjamaliza mauwaji mnakuja na kuweka vibaraka vyenu kwenye nafasi za uwaziri ?
View attachment 1616052
Maalim Seif apumzike tu ndie kiini cha uovu na fujo kila uchaguzi anasisitiza fujo na chuki xio utamaduni wa kitanzania ni mbinafsi .Unapotamka neno kinywani linaleta madhara makubwa kumbuka hata dunia iliumbwa kwa kunena ,nj mtu siku zote wa shari .Siku anaacha siasaPemba itakuwa shwari hakutakuwa na uchochezi tenaMaalim Seif apotezee tu hata huo Umakamu..Jussa ni Mwanasheria kama alivyo Lissu itapendeza.
Duh...!, Mkuu Gavana, yaani mtu atoke zake Oman, aje Zanzibar, awakute wenyeji, wenyewe wenye Zanzibar yao, akaribishwe na Mwinyi Mkuu, baadae anajua alimfanya nini Mwinyi Mkuu, akavitwaa visiwa hivyo kuvifanya mali yake, as if ameviokota na havina mwenyewe!, mwaka 1964, kupitia yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, wenyewe wenye Zanzibar yao wakamfurumusha kwa kumpindua, na kuvitwaa tena visiwa vyao, leo mgeni, mtu wa kuja anajiona ndio mwenyewe, halafu mwenyewe anamuita mgeni.Hakuna mwarabu wala mshirazi wala muhindi wala mchina aliyekuja Zanzibar na akakaribishwa kuishi na kufanya ushenzi kwa wazaliwa wa visiwa hivi.
Nyinyi mnaojifanya waafrika weusi wenzetu na kujifanya ni ndugu zetu baada ya kukaribishwa vizuri na kusaidiwa maisha na kuonekana ni watu wakaribu na rangi moja ndio watu wanaotufanyia ushenzi huu, kutuuwa, kutujeruhi, kuwanajisi watoto wetu , kututeka , kutuibia na kutufanyia kila aina ya uchafu.
Hii ndio shukrani yenu kwetu kwa kuwasaidia na kuwakaribisha??
Hivi lini mtaanza kustaarabika .
Duh...!, Mkuu Gavana, yaani mtu atoke zake Oman, aje Zanzibar, awakute wenyeji, wenyewe wenye Zanzibar yao, akaribishwe na Mwinyi Mkuu, baadae anajua alimfanya nini Mwinyi Mkuu, akavitwaa visiwa hivyo kuvifanya mali yake, as if ameviokota na havina mwenyewe!, mwaka 1964, kupitia yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, wenyewe wenye Zanzibar yao wakamfurumusha kwa kumpindua, na kuvitwaa tena visiwa vyao, leo mgeni, mtu wa kuja anajiona ndio mwenyewe, halafu mwenyewe anamuita mgeni.
P