Zanzibar 2020 Siasa za Zanzibar: Hongera Dr. Mwinyi Kwa Ushindi wa Kishindo, Maalim Makamo wa I, Mteue Balozi Amina Salum Ally Awe Makamo wa II, Utoe Sare Sare Maua

Zanzibar 2020 Siasa za Zanzibar: Hongera Dr. Mwinyi Kwa Ushindi wa Kishindo, Maalim Makamo wa I, Mteue Balozi Amina Salum Ally Awe Makamo wa II, Utoe Sare Sare Maua

Kwanza wangeanza na kuondoa majeshi mitaani ili hali irudi.
Pili, waache kupiga watu , wanawachukua vijana wa upinzani na kuwapiga na kuwatupa vichakani mfano Jusa, ambae kwa sasa yupo Hospitali, na vijana wengine hata hawajulikani walipo.
Nia njema yende na matendo
 
Nadhani hii sheria ya makamu wa 1 inafanya kazi pale ambapo mshindi hajachukua kura/ushindi wa kuzidi 50% ya kura zote, ila kwa 70% ya Mwinyi "requirement" haipo... I stand to be corrected
 
Pascal kwani nyinyi wavamizi mbona hamjamaliza mauwaji mnakuja na kuweka vibaraka vyenu kwenye nafasi za uwaziri ?





IMG-20201030-WA0036.jpg
 
Maalim Seif apokee tu hiyo position ili akafight kupenyeza baadhi ya ahadi zake nyingi za kampeni zitekelezwe, kwa maslahi mapana ya Taifa.

Pia itampa nafasi ya kuijenga zaidi ACT Wazalendo huku akijiandaa kustaafu siasa kwa heshima.

Akisusa maisha yatasonga tu na haitamsaidia yeye binafsi, chama chake na Wazanzibar wote.
Kijana mimi sikutaka kuchangia, lkn post yako hii imenifanya nichangie kwa ajili ya kukupongeza kwa mchango wako huu wenye kujenga. Amandla
 
Unajua siku zote hizi nilikuwa nadhani wewe ni careerwise muandishi wa habari, labda nilikosea. Maana muandishi wa habari anachotakiwa mbali ya kutokuwa biased na anachokiandika pia anatakiwa awe anafanya uchunguzi wa ndani kabla ya kutoa piece yake. Sasa unaposema kuwa "kwa ushindi wa kishindo, cha kihistoria, haijapata kutokea toka Zanzibar izaliwe" sijui hata nikuelewe vipi. Kwanza labda unielimishe Zanzibar unadhani imezaliwa lini hasa? Sijui una umri gani lakini Zanzibar kumefanyika uchaguzi mara nyingi tu na kumekuwa na matokeo na washindi kupata kura zaidi ya 90%. Sitaki kwenda kabla ya utawala wa ASP, lakini toka Rais wa mwanzo wa serikalii ya mapiduzi ambapo kulikuwepo na mfumo wa chama kimoja marais wote walichaguliwa kwa kura nyingi za mfumo wa Ndio na Hapana. Na kwa zanzibar wazee wetu walifika kuzitafsiri karatasi za kura kuwa ukipiga Ndio unamanisha ndiyo huyo alokuwepo katika picha na ukipiga hapana unamaanisha kuwa hapana mwengine ila huyo alokuwepo katika picha na ndio maana kwa vyovyote vile unamchagua rais ambae picha yake ipo katika karatasi ya kupiga kura. Na ndio maana marais wote wa wakati wa chama kimoja walikuwa wanapata kura nyingi mno tu!
 
Maalim Seif apotezee tu hata huo Umakamu..Jussa ni Mwanasheria kama alivyo Lissu itapendeza.
Maalim Seif apumzike tu ndie kiini cha uovu na fujo kila uchaguzi anasisitiza fujo na chuki xio utamaduni wa kitanzania ni mbinafsi .Unapotamka neno kinywani linaleta madhara makubwa kumbuka hata dunia iliumbwa kwa kunena ,nj mtu siku zote wa shari .Siku anaacha siasaPemba itakuwa shwari hakutakuwa na uchochezi tena
 
Hakuna mwarabu wala mshirazi wala muhindi wala mchina aliyekuja Zanzibar na akakaribishwa kuishi na kufanya ushenzi kwa wazaliwa wa visiwa hivi.

Nyinyi mnaojifanya waafrika weusi wenzetu na kujifanya ni ndugu zetu baada ya kukaribishwa vizuri na kusaidiwa maisha na kuonekana ni watu wakaribu na rangi moja ndio watu wanaotufanyia ushenzi huu, kutuuwa, kutujeruhi, kuwanajisi watoto wetu, kututeka , kutuibia na kutufanyia kila aina ya uchafu.

Hii ndio shukrani yenu kwetu kwa kuwasaidia na kuwakaribisha??

Hivi lini mtaanza kustaarabika .
 
Hakuna mwarabu wala mshirazi wala muhindi wala mchina aliyekuja Zanzibar na akakaribishwa kuishi na kufanya ushenzi kwa wazaliwa wa visiwa hivi.

Nyinyi mnaojifanya waafrika weusi wenzetu na kujifanya ni ndugu zetu baada ya kukaribishwa vizuri na kusaidiwa maisha na kuonekana ni watu wakaribu na rangi moja ndio watu wanaotufanyia ushenzi huu, kutuuwa, kutujeruhi, kuwanajisi watoto wetu , kututeka , kutuibia na kutufanyia kila aina ya uchafu.

Hii ndio shukrani yenu kwetu kwa kuwasaidia na kuwakaribisha??

Hivi lini mtaanza kustaarabika .
Duh...!, Mkuu Gavana, yaani mtu atoke zake Oman, aje Zanzibar, awakute wenyeji, wenyewe wenye Zanzibar yao, akaribishwe na Mwinyi Mkuu, baadae anajua alimfanya nini Mwinyi Mkuu, akavitwaa visiwa hivyo kuvifanya mali yake, as if ameviokota na havina mwenyewe!, mwaka 1964, kupitia yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, wenyewe wenye Zanzibar yao wakamfurumusha kwa kumpindua, na kuvitwaa tena visiwa vyao, leo mgeni, mtu wa kuja anajiona ndio mwenyewe, halafu mwenyewe anamuita mgeni.
P
 
Duh...!, Mkuu Gavana, yaani mtu atoke zake Oman, aje Zanzibar, awakute wenyeji, wenyewe wenye Zanzibar yao, akaribishwe na Mwinyi Mkuu, baadae anajua alimfanya nini Mwinyi Mkuu, akavitwaa visiwa hivyo kuvifanya mali yake, as if ameviokota na havina mwenyewe!, mwaka 1964, kupitia yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, wenyewe wenye Zanzibar yao wakamfurumusha kwa kumpindua, na kuvitwaa tena visiwa vyao, leo mgeni, mtu wa kuja anajiona ndio mwenyewe, halafu mwenyewe anamuita mgeni.
P


Hata historia huijui mnatuletea historia yenu ya kanisa katolik kuhalalisha unyama wenu. Hebu tuambie mzanzibari gani ambaye aliuliwa na huyo mtawala wa kiarabu kutoka Oman. Mwarabu gani alimpiga risasi au kumnajisi mtoto wa kizanzibari. Mwarabu gani alimlazimisha mzanzibari kuungana naye?
Huyowinyi mkuu hata unamjua ?

Hivi mwarabu alikuja kuvamia kama nyinyi?
Huyo kibaraka wenu tuone hivyo atakavyotawala pamoja na Papa doc wake Kichaa wenu magu fool
 
Nadhani ungepigania uhuru wa habari Tz huko kwanza maana mmebanwa kweli kweli na sasa ni utawala wa chama kimoja hata sheria mbovu mbovu zitaanza kupita kirahisi tegemeeni mvua za kutosha kutoka TCRA yani itakua zaidi ya muhula uliopita sasa ni rasmi kila habari iwe ni ya kumsifu mfalme..
 
Back
Top Bottom