Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Hihii blaza vimba upasukeWewe nakuona kama mtu muovu hapa JF na hata siku nikisikia umepatwa na baya kutoka kwa hao unaowatetea hapa JF, hakika sitokuhurumia wala kukupa pole.
Umekosa utu kwa kiwango cha kutisha na ni mtu hatari sana wewe.