DOKEZO Siasa Zetu: Watoto wa wanachama wa CHADEMA wasimamishwa Shule Nkasi kwa maelekezo ya Mkuu wa Wilaya na amri ya mwalimu Mkuu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hahaha yani mnasoma kwenye shule za MAMA alafu manataka wawaache watoto wa CHADEMA?

Woote mnaopinga CCM msipotekwa mtafukuzwa nchini.

SIFIENI msalimike hamuelewi nini?
 
Sababu uliyotaja haiko kwenye barua uliyoambatanisha...

Umetunga sababu sio?

Hapo nimesoma, sababu si baba yao kuwa Chadema bali kauli zake juu ya walimu wa shule hiyo...

Ungetuwekea hapa hiyo kauli aliyoitoa huyo bwana hapa ili tuijadili.
 
Heading isomeke KUSIMAMISHWA na sio KUFUKUZWA, Kama barua unavoeleza
Kama una uelewa mpana juu ya haya mambo utakua unajua kwamba shule zote zinajiepusha na neno kufukuzwa Kwa sababu mwenye mamlaka ya kufukuza ni Bodi ya shule au kamati ya shule! Na kwa maana hiyo shule inauwezo wa kusimamiaha kwa siku kadhaa zosizozidi 90 kusubiri kikao Cha kamati au Bodi.
Hata hivyo yapo makosa ambayo yanatoa room kwa adhabu Kali kama hiyo.
Kwa barua hii ambayo haijataja hata makosa ya wanafunzi Bali imetaja makosa ya wazazi ambayo ni katika mchakato wa kisiasa Ila wkahusishwa walimu hakutoi uhalali wowote kuwasimamisha watoto Kwa sababu hakuna uhusiano wa Moja kwa Moja ukiacha ushahidi.
Soma barua inaelekeza ukawatafutie shule nyingine! Hiyo ni automatic dismissal!
Kiuhalisia agizio Hilo la Mkuu wa WILAYA ambaye namuita mjinga ni ukiukwaji wa Haki za binadamu wazi wazi na inafaa asasi za kiraia na viongozi wa dini pamoja na tume ya Haki za binadamu kuongilia kati, sababu Elimu ni Moja wapo ya Haki za binadamu kwa mujibu wa AZIMIO LA UMOJA WA MATAIFA LA HAKI ZA BINADAMU! (UDHR)
Kama taifa haya sio mambo ya kufumbia macho sababu yanapotupeleka ni pabaya sana na matokeo yake kwa kizazi kinachokuja hayatahimilika.
Wakati wajinga wakishani wanalazimisha loyalty wenye hekima wanaona kinacholazimishwa ni uasi na chuki.
Chama kiache kujihusisha na uporaji wa Haki za binadamu kuanzia
1. Haki ya kuishi
2. Haki ya kupata huduma za jamii kama elimu.
Hatujui ni Haki ipi itaenda kuporwa soon!
Kukaa kimya ni kuficha moto uvunguni.
 
Inabidi utulie unisome kwa makini, hiki kinachoendelea sasa ni downward trend ya kutengeneza chuki zidi ya Samia.
Kwanza pole na safari. Umekwisha wasili salama?

Baada ya hayo napenda kumtetea Samia , pengine kwa mara ya kwanza na mwisho.

namtetea, kwa sababu sijaona maelekezo toka kwake kwenda kwa hao wapumbavu/vichaa waliofanya jambo la kusikitisha hili.

Ngoja nikukumbushe tena: hayo yanayo fanyika ni ya CCM kama chama kinacho tawala Tanzania. Kinacho nisikitisha toka kwako, ni kumwona Samia kuwa tofauti na CCM. Hili lina nishangaza sana toka kwako, mtu unaye onyesha uelewa mzuri wa mambo

Mwisho, hawa wanao fanya mambo ya kusikitisha kama haya, ningependa siku moja watandikwe viboko hadharani, mbele ya hao wanafunzi walio rudishwa nyumbani.
 
Sababu uliyotaja haiko kwenye barua uliyoambatanisha...

Umetunga sababu sio?

Hapo nimesoma, sababu si baba yao kuwa Chadema bali kauli zake juu ya walimu wa shule hiyo...

Ungetuwekea hapa hiyo kauli aliyoitoa huyo bwana hapa ili tuijadili.
Huwa mnaharibu Kwa kuweka mambo juu juu Ili kuficha uovu! Mkuu wa WILAYA sio chombo Cha maamuzi katika shule kasome utaratibu. Pili kinachozungumzwa kipo ndani ya barua (context) wakati wa kampeni
 
Mtoto wa darasa la 1 anafukuzwa shule na kutakiwa kutafutiwa shule !?
Ningepeleka shule nzima mahakamani na kuweka stop order Moja kubwa sana halafu ni deal na huyo mvunja haki ya watoto ambae kimsingi namuona kama muuaji kabisa ambae anaenda kutangaza assemble kumsimamisha shule mtoto wa darasa la 1
Anyway Kuna watu akili wameuza hope watarudi nyuma wawaze hata kidogo
 
Iweke jukwaani kauli ya mzazi tuijadili...
Soma barua kabla maandishi yanayoonesha tarehe (wanadai ni vitisho na kashfa wakati wa zoezi la uchaguzi) Mimi na wewe hatuzijui isipokua hao walioandika! Na namna walivyomshirikisha Mwenyekiti wa kamati ya siasa ya WILAYA (DC). KWahiyo context inabakia kuwa ni siasa. Siasa inasababisha uvunjaj wa Haki za binadamu! Ogopa nchi ikiwa na wajinga wengi! Hawa Ndio wajinga sasa
 
But you and I know Samia has nothing to do with that.
But she is the leader. Where does the buck stop?

Ukweli ni kuwa, unge kipenda chama chako, na hata huyo kiongzi unaye sema anatengenezewa chuki; matendo ya namna hii ndiyo njia rahisi ya kuondokea kwenye gunia linalo bana.
Hawa watu, hata angefika tu kwenye shule hizo na kusema jambo ingetosha kabisa hata kuwazima wengine wanao shindana kupata 'attention' yake na kupata 'favor'.

But, she is DUMP, as a do do!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…