Hili ni dogo mno, kama kuteka na kupoteza jamii imelikalia kimya.Ni nini hiki?! Like serious.....
Tunaelekea pabaya sana kama taifa kwasababu ya ccm
God Have mercy with MAMA TANZANIA..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni dogo mno, kama kuteka na kupoteza jamii imelikalia kimya.Ni nini hiki?! Like serious.....
Tunaelekea pabaya sana kama taifa kwasababu ya ccm
God Have mercy with MAMA TANZANIA..
Na kwanini mzazi aadhibiwe! Kwani kuwa Chadema ni kosa?Kwani hamna vyombo vya kisheria kumwajibisha mzazi badala ya kuwaadhibu hao wanafunzi?
Kama una uelewa mpana juu ya haya mambo utakua unajua kwamba shule zote zinajiepusha na neno kufukuzwa Kwa sababu mwenye mamlaka ya kufukuza ni Bodi ya shule au kamati ya shule! Na kwa maana hiyo shule inauwezo wa kusimamiaha kwa siku kadhaa zosizozidi 90 kusubiri kikao Cha kamati au Bodi.Heading isomeke KUSIMAMISHWA na sio KUFUKUZWA, Kama barua unavoeleza
Kwanza pole na safari. Umekwisha wasili salama?Inabidi utulie unisome kwa makini, hiki kinachoendelea sasa ni downward trend ya kutengeneza chuki zidi ya Samia.
Huwa mnaharibu Kwa kuweka mambo juu juu Ili kuficha uovu! Mkuu wa WILAYA sio chombo Cha maamuzi katika shule kasome utaratibu. Pili kinachozungumzwa kipo ndani ya barua (context) wakati wa kampeniSababu uliyotaja haiko kwenye barua uliyoambatanisha...
Umetunga sababu sio?
Hapo nimesoma, sababu si baba yao kuwa Chadema bali kauli zake juu ya walimu wa shule hiyo...
Ungetuwekea hapa hiyo kauli aliyoitoa huyo bwana hapa ili tuijadili.
Kama hujawahi kuwa sehemu ya maamuzi yanayofanana huwezi jua maana ya hiyo statement! "Kusimamishwa masomoni" "kutafutiwa shule"Lkn watafutiwe shule nyingine! sasa hapo maana yake nn mzee
Iweke jukwaani kauli ya mzazi tuijadili...kinachozungumzwa kipo ndani ya barua (context) wakati wa kampeni
Soma barua kabla maandishi yanayoonesha tarehe (wanadai ni vitisho na kashfa wakati wa zoezi la uchaguzi) Mimi na wewe hatuzijui isipokua hao walioandika! Na namna walivyomshirikisha Mwenyekiti wa kamati ya siasa ya WILAYA (DC). KWahiyo context inabakia kuwa ni siasa. Siasa inasababisha uvunjaj wa Haki za binadamu! Ogopa nchi ikiwa na wajinga wengi! Hawa Ndio wajinga sasaIweke jukwaani kauli ya mzazi tuijadili...
But she is the leader. Where does the buck stop?But you and I know Samia has nothing to do with that.