DOKEZO Siasa Zetu: Watoto wa wanachama wa CHADEMA wasimamishwa Shule Nkasi kwa maelekezo ya Mkuu wa Wilaya na amri ya mwalimu Mkuu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sababu uliyotaja haiko kwenye barua uliyoambatanisha...

Umetunga sababu sio?

Hapo nimesoma, sababu si baba yao kuwa Chadema bali kauli zake juu ya walimu wa shule hiyo...

Ungetuwekea hapa hiyo kauli aliyoitoa huyo bwana hapa ili tuijadili.
Kwanini asingeadhibiwa yeye kama yeye?? Watoto wanahusika nini?? Kutupandishia hasira bila sababu.
 
Kama imetokea kweli nadhani inatakiwa kuwepo kwenye orodha ya mambo ya ajabu Duniani
 
Hatari sana

Sasa kesi ya mzazi mtoto anaingiaje?
Kama hao wazazi wamefanya makosa washughulikiwe kwa makosa yao kwa mujibu wa sheria.

Kumfukuza mtoto shule ni kumnyima haki yake tena kwa kosa ambalo hata halijui. Kwa kweli hili jambo baya sana.

Naamini wahusika watashughulikiwa ipasavyo.
 
Mzazi aliwatukana waalimu, sasa unategemea waalimu wafanye nini? Vipi ilitokea shida shuleni sini mzazi atafanya fujo zaidi..

Mzazi anamakosa Sana..
Your thinking process aisee ...😀,
Kama shida gani inaweza tokea shuleni, na huwa inatokea mara ngapi kwa Mwaka
 
Hivi vyeo vya kupeana kama ahsante, ni aidha vifutwe ama watu waajiriwe kabisa.
Ndio maana tunapata maDC na maRC mabogus kabisa.
 
Unachukua mambo out of context.
Ubishi sio wale kuwa watoto wa Mwanachadema.
Ubishi haujulikani mpaka utajwe.
Huyo mzazi alisema nini kwani?
Mbona barua inajieleza, walimu walisimamia uchaguzi sasa mzazi ambaye ni chadema akamkosoa msimamizi wa kituo cha uchaguzi (Ambaye ni mwalimu) kuwa kama hana uwezo wa kusimamia uchaguzi je atakua na uwezo wa kufundisha wanaye?

Be the judge
 
Your thinking process aisee ...😀,
Kama shida gani inaweza tokea shuleni, na huwa inatokea mara ngapi kwa Mwaka
Siasa zisifanye hadi kuwatukana waalimu wa shule wanaosoma watoto maana wao wanakaa nao muda wote wakati wa masomo kulingana na mzazi kutokuwa na Imani na waalimu. Waalimu wamefanya jambo la busara kuwarudisha watoto kwa wazazi ili mzazi apeleke watoto shule atakayokuwa na Imani na waalimu ... Mbona ni jambo la busara waalimu wamefanya na wameandika na barua inajieleza shule zipo nyingi ..
 
Mbona barua inajieleza, walimu walisimamia uchaguzi sasa mzazi ambaye ni chadema akamkosoa msimamizi wa kituo cha uchaguzi (Ambaye ni mwalimu) kuwa kama hana uwezo wa kusimamia uchaguzi je atakua na uwezo wa kufundisha wanaye?

Be the judge
Mzazi awapeleke watoto kwa waalimu atakaoamini wataweza kuwafundisha watoto wake..
 
Ww huna akili mambo yenu ya siasa yanahusiana nini na watoto? Mambo ya uchaguzi na shule wapi na wapi?au ww ni mojawapo ya hao walimu hapo?
 
Mbona barua inajieleza, walimu walisimamia uchaguzi sasa mzazi ambaye ni chadema akamkosoa msimamizi wa kituo cha uchaguzi (Ambaye ni mwalimu) kuwa kama hana uwezo wa kusimamia uchaguzi je atakua na uwezo wa kufundisha wanaye?

Be the judge
Mkajipange
 
Safi sana, DC na Mkuu wa shule wapandishwe vyeo na Samia
Ndio shida yenu ilipo

Hamjui wakati wa kuungana

Wakati gani wa kuwa serious

Na wakati gani wa utani

Ni bora CCM japo siafiki mambo ya mauaji,
 
Mzazi awapeleke watoto kwa waalimu atakaoamini wataweza kuwafundisha watoto wake..
Ndio lakini sio kususpend watoto, wanahusika kivipi?. Yaani mtoto anasimamishwa kisa ugomvi wa Baba na Mwalimu kwenye zoezi la uchaguzi? Ni sawa na wewe ugombane na doctor alafu mkeo akiwa mjamzito amkatae kuzalishwa ndani ya hospitali hiyo moreover ni ya serikali?
 
Maelekezo ya DC ni maelekezo ya RC ambaye anapokea maelekezo kutoka mamlaka yake ya uteuzi.

Hivyo wamelifanya zoezi hilo kama pilot plan kupima upepo kabla maeneo mengine hawajaanza utekelezaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…